Huu ni mkosi ama

Huu ni mkosi ama

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Tangu nimalize chuo sasa yapata ni miezi miwili,taaluma yangu ni Electrical Installation,baada ya kumaliza chuo nikaomba nafasi kwenye kampuni kama mbili ivi nafasi ya kuvolunteer....Lakini mpaka muda huu cjapigiwa simu wala kutumiwa kwenye Email yangu..Msaada jamini kwani kitaa kigumu jamani
 
dogo miezi 2 ushaanza kuona kitaa kichungu,ukikaa miaka 2,3 si utakufa kabisa...ukijiona una mkosi itakuwa hivyo
 
Umetuma barua 2 tu..nimetuma barua zaidi 40 post ya mwisho ya tar 4dec ndo nimeitwa interview juzi tar 10dec..hiyo ni kama application kama 42 hivi....endelea kuvumilia
 
duh dogo miezi miwili tu unachanganikiwa? relax...utapata tu wakati ukifika....ok?
Tangu nimalize chuo sasa yapata ni miezi miwili,taaluma yangu ni Electrical Installation,baada ya kumaliza chuo nikaomba nafasi kwenye kampuni kama mbili ivi nafasi ya kuvolunteer....Lakini mpaka muda huu cjapigiwa simu wala kutumiwa kwenye Email yangu..Msaada jamini kwani kitaa kigumu jamani
 
loh! na tulokaa mwaka tusemeje?? vumiliaa bhna kma waona shida jitupie kwwa self employment
 
Umetuma barua 2 tu..nimetuma barua zaidi 40 post ya mwisho ya tar 4dec ndo nimeitwa interview juzi tar 10dec..hiyo ni kama application kama 42 hivi....endelea kuvumilia

Shukran sana man,
 
huo si mkosi, kila mtu atapata kazi muda wake ukifika, watakiwa kujitahidi tu kutuma maombi sehemu mbali mbali. kitaa kigumu lakini miezi miwili ni michache sana kujiona una mkosi. mungu atakusaidia ukimshirikisha. jaribu pia kutumia recruitment agents.
 
Tangu nimalize chuo sasa yapata ni miezi miwili,taaluma yangu ni Electrical Installation,baada ya kumaliza chuo nikaomba nafasi kwenye kampuni kama mbili ivi nafasi ya kuvolunteer....Lakini mpaka muda huu cjapigiwa simu wala kutumiwa kwenye Email yangu..Msaada jamini kwani kitaa kigumu jamani

Watoto wamama utawajua tu! Watu tuko kitaa mwaka wa tano sasa wewe miezi miwili tu kilio.

Piga mishemishe mjini hapa acha kulialia dogo.
 
Tangu nimalize chuo sasa yapata ni miezi miwili,taaluma yangu ni Electrical Installation,baada ya kumaliza chuo nikaomba nafasi kwenye kampuni kama mbili ivi nafasi ya kuvolunteer....Lakini mpaka muda huu cjapigiwa simu wala kutumiwa kwenye Email yangu..Msaada jamini kwani kitaa kigumu jamani

Wenzio wamekaa kitaa miaka 3 bila kazi wewe miezi miwili tu unalia
 
Sio mkosi, wewe ni mvivu..miezi yote miwili umetuma application 2!! So kwa mwaka mzima utatuma 12 tukienda kwa sequence and series. Na kama mkuu MKILINDI alituma 40 ndo akaitwa moja with ceteris peribus itakuchukua miaka sio chini ya mitatu kuitwa kwenye interview ya kwanza!!! BADILIKA, hacha kulalamika, chukua hatua.
 
MAZINA Kama upo Dar es Salaam tembelea eneo la Chang'ombe viwandani ukiwa unaambaa barabara inayoitwa Mbozi Road. Kuna viwanda vya kutosha labda kama unataka kufanya kazi zako Ikulu. Andaa CV kama 50 hivi na copy za vyeti vyake. Kwa taaluma yako hautakosa kazi nakwambia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom