Katika hali ya Kushangaza classmet wangu ambaye alikuwa mwanajeshi walioko uko Congo wakirinda Amani, amekufa kwa Kupigwa na Radi akiwa kambini. Walikuwa watatu Watanzania wawili na MCongoman mmoja. Katika kudadisi Sijasikia ili likisemwa popote si serikali wala JWTZ
KUMBE....
Yawezekana Watanzania wenzetu walinda Amani katika nchi mbalimbali wanakufa mara kwa mara ili sisi watanzania hatujui..
Jeshi linasubiri wafe wengi kuanzia 14 ndo tupate taarifa...
Pengine uwa tunapewa taarifa za Uongo kuhusu msitakabari wa Walinda Aman Watanzania walioko katika mataifa Mbalimbali..
Kuna video moja ilkuwa inasabaa ikimuonesha Kiongozi wa Kikundi cha Al Shabaab akimuua kwa Kumpiga Risasi asikari wa Kenya lakini baadae akiwa na vitambulisho vya Askari wengine waliokufa mikononi mwao ili hali serikali ya Kenya haijatangaza kuhusu kuuwawa kwao...nilitaman kujua kuwa nini uwa sababu hasa.....
JE, kwanini haya na Mengine Hayasemwi....