kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
Ipitie mbali,3M/night???? NO WAY!!!!!!!
Umepatia Mkuu.
Hawataki mtalii masikini.
Umepatia Mkuu.
Hawataki mtalii masikini.
Borabora, Tahiti ni moja ya visiwa vya French Polynesia, koloni la Ufaransa.
Borabora inajulikana kama kisiwa cha "honeymoon".
View attachment 253569
View attachment 253570
Kitu gani huelewi Mkuu?
Sijaelewa kitu hapa,..hebu fafanueni kidogo wakuu
kwako wewe utalii maana ake nini?
HUJAELEWA NINI SASA AKAT LUGHA NI KISWAHILI 😀😎