Huu ndo usingizi wa Kim Jong Un

Team Kiduku Uzi kama huu huwa wanaupenda sana
 
Mmmh kwa hilo bwangaaa,,,
Sema mtoto so innocent,,,
 
Huyu mapanki akinipa namba ya fundi wake wa masuruali atakua ameugusa moyo wangu kwa namna ya pekee, nina buti moja linaitwa teremka tuzoze linaozea kwenye kabati kwa kukosa bwanga kama hilo la mapanki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…