Kama lipi hilo tusi?? sorry lady, you are not being real here! I guess you are a good girl/lady and you don't have to be like this.
If you insist, I will do it cute.....
OK, name it and i'll do it. Haja yao si nipate ban, no worries just name itSasa kwanini ni-insist wakati ulisema utafanya chochote nachokwambia mkuu?
OK, name it and i'll do it. Haja yao si nipate ban, no worries just name it
Haja yako wewe nipate ban!Haja ya kina nani?
NiPM ID yako ya zamani kwanza
Haja yako wewe nipate ban!
ID yangu ya zamani?? !!!! Okey nimeku-PM
Wala sio gharama kubwa, kwani we una sh ngap?
Ndio mimi yeah!Asante nimeiona
Kumbe ndio wewe 😍😍
Uyo unaye mwita kyuti unaweza kukuta ni Bibi yako in a real life[emoji3][emoji3] new comer bhana mnamatatizoKama lipi hilo tusi?? sorry lady, you are not being real here! I guess you are a good girl/lady and you don't have to be like this.
If you insist, I will do it cute.....
Mia Tisa itapendezaMia mbili [emoji23][emoji23][emoji23]
ssssssssssssssssaaaaaaaaaaaaaaaaaafffffffffffffffffffffffffiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHabari wana MMU.
Acha niende moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha, niwashukru uongozi mzima kwa kuanzisha jukwaa la love connect, maana mmekuwa msaada katika kundi fulani..
Maana binafsi naamini walioko humu JF ndo wale wale tulionao mtaani.
pili naamini kuwa mapenzi huanzishwa popote pale.
Ila leo naomba niseme wazi bila kupepesa macho kuwa wale wote wanaotafuta wapenzi mtandaoni wana kasoro nyingi kuliko mazuri yao.
Siamini kama kijana ambaye ni mfano wa kuigwa katika jamii inayomzunguka, mwenye maadili mema, tabia njema mcha MUNGU anaweza kukosa mke/ mume katika jamii inayomzunguka mpaka kutafuta mtandaoni.
Hivi kweli ukose katika makundi haya.
Unaosali nao, uliosoma nao,wafanyakazi wenzako, marafiki zako na jamii inayokuzunguka utafute usiyemjua?
Na ndo maana mara nyingi hata humu wanaotafuta wenza wengi wao umri unakuwa umewatupa mkono,single mother au waliokosa mke/mume sabb ya tabia zao na ndo sabb huja humu kwa ID mpya.
Kijana mwenzangu nachoweza kukushauri ni kubadili muenendo wako wa maisha unayoishi ili sifa zako ziweze kumvutia kila kijana anayesimama mbele yako..
NB: sijawaongelea wale walionza kama marafiki humu na baadae kuwa wapenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Have respect and mind your business, mongol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Uyo unaye mwita kyuti unaweza kukuta ni Bibi yako in a real life[emoji3][emoji3] new comer bhana mnamatatizo
Mkuu hawawezi kukuelewa mpaka yawakute.
Mzee wa PM ndo nani?Mzee wa pm katoa yake ya moyoni ila sikutegemea ungeongelea jambo hili
Sent using Jamii Forums mobile app