Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,393
- 7,878
Ukitumia electronic microscope sisimizi anaonekana hivi
Duuh Mungu alikuwa na maana yake kumuweka handunjeUkitumia electronic microscope sisimizi anaonekana hiviView attachment 2186937
Duuh Mungu alikuwa na maana yake kumuweka handunje
Una uhakika gani huyo sisimizi ni jinsia ya kiume?Sasa huyo ndie handsome man huko kijijini kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una uhakika gani huyo sisimizi ni jinsia ya kiume?
Kama unaweza kujua jinsia ya mtu kwa kusikia jina lake, utashindwaje kujua jinsia yake kwa kuangalia sura.? Anaonekana ni mwanaume kamili huyo.Una uhakika gani huyo sisimizi ni jinsia ya kiume?
prove what?Vinaweza kuonekana vidogo but I have Scars to prove it
Scars walioniachiaprove what?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata sisi watakuwa wanatushangaa sana tunavyotisha,na miguu yetu miwili tunatembea upright bila ya kuanguka,watakuwa wanatuona mazombie flani hivi...