Huu ndiyo uzalendo??

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,242
Kila mara humu ndani kunakuwa na hoja mbalimbali zinazohusu mustakabali wa nchi yetu. lakini katuni hii ya Masudi, al maarufu Kipanya ndiyo imemaliza kila kitu kuhusu utanzania wetu.

juzi tulikuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa, uliza humu ndani wangapi waligombea na wangapi walipiga kura. Tumebakia kulalama na kubwabwaja tu na kudhani mabadiliko yatajitokeza kwa kupiga porojo humu barazani! Thubutuuuu!!
 

Attachments

  • kp_602.jpg
    11.9 KB · Views: 170
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…