hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
Haha Lol . Huu utetezi sio wa taifa hili ..Zawadi zooote zimeyeyuka kwa joto,.chaa nilikutana na joto amazing sana duu...afadhali jana ilinyesha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Lol . Huu utetezi sio wa taifa hili ..Zawadi zooote zimeyeyuka kwa joto,.chaa nilikutana na joto amazing sana duu...afadhali jana ilinyesha
Haha nina vituko sana ... !!! Kuna theory inasema Wenye huruma hatuna bahati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfyuuu
Naww hivi una huruma eeeh??🤔Haha nina vituko sana ... !!! Kuna theory inasema Wenye huruma hatuna bahati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huyu !!! Unauliza tena jamani ... Lol nina huruma mpaka najishangaa na ndio fimbo ambayo huwa inatumika kuniadhibu mwenyewe na walimwenguNaww hivi una huruma eeeh??[emoji848]
Mmhh😒Mimi huyu !!! Unauliza tena jamani ... Lol nina huruma mpaka najishangaa na ndio fimbo ambayo huwa inatumika kuniadhibu mwenyewe na walimwengu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa wewe nionee tu .. mimi nitakusemea kwenu umekula kwetu ...Mmhh[emoji19]
Kwaamba watumbua mbiao mshiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii woii
Mmh...kwanza nilikula kidogo tuu wewe ulikomba mboga yooooote😏
😂😂😂sawa chief mkwawa
Mhh wewe mtu gani ukikaribishwa hata hausemi nime shiba ... nakusemea mimiMmh...kwanza nilikula kidogo tuu wewe ulikomba mboga yooooote[emoji57]
Haha umeanza bangi zako ... Muone[emoji23][emoji23][emoji23]sawa chief mkwawa
Mtume dogo aje kuchukua mazagazaga😎
Lol -- nimtume dogo tena !! Aise naja mimi mwenyewe ...Mtume dogo aje kuchukua mazagazaga[emoji41]