Wahenga walisema hivi "Ukioa mwanamke ambaye siyo BIKRA, tambua ya kuwa umeazima mke wa mtu. Jikaze! maana huna tofauti na mfuga NYOKA kwani ipo siku atakumbuka kurudi polini hata kama atakuwa analala kwenye godoro.
TAFAKARI.
ni mawazo potofu kumtoa dem bikra si suluhisho la kuoana au kuwana mahusiano nae yakudumu
hii haina ukweli wowote ni mawazo yako tu, mimi binafsi nimeshabikiri kama wasichana 4 hivi hadi sasa na naishi na mmoja tu hao 3 hawajawahi kunisumbuwa hata siku 1. maisha yangekuwa hivyo kama unavyotaka kutuaminisha sijuwi ingekuwaje
Ukweli mchungu huu ,,,,!!!!!!!!!
Soma mada uelewe!!!!!!!!!
Wahenga walisema hivi "Ukioa mwanamke ambaye siyo BIKRA, tambua ya kuwa umeazima mke wa mtu. Jikaze! maana huna tofauti na mfuga NYOKA kwani ipo siku atakumbuka kurudi polini hata kama atakuwa analala kwenye godoro.
TAFAKARI.
Yaliyo semwa na wahenga ni mengi sana sio kila li lilosemwa lina ukweli ndani yake kuna mingine ni misemo ya kujifurahisha.
Yaliyo semwa na wahenga ni mengi sana sio kila li lilosemwa lina ukweli ndani yake kuna mingine ni misemo ya kujifurahisha.
Hiki ulichokisema hapa chini kinausiana nini na mada?Hapo kwenye bold umeelewa nini?
mimi binafsi nimeshabikiri kama wasichana 4 hivi hadi sasa na naishi na mmoja tu hao 3 hawajawahi kunisumbuwa hata siku 1.
Hiki ulichokisema hapa chini kinausiana nini na mada?
Nani amesema kila lililosemwa lina ukweli?
kinatoa msisitizo kukanusha hoja, ukifundisha bila mfano unakuwa umefundisha nusu na hiyo ni real example.
Kwa maneno yako ni wazi una kubaliana na kila li nalosemwa