Huu ndiyo ukweli kuhusu mabomu

Huu ndiyo ukweli kuhusu mabomu

MAKUNDA

Senior Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
115
Reaction score
39
Ndugu wana JF, ni mejitahidi sana kunyamaza lakini sasa naona niongee maana najisikia kama vile moyo wangu unataka kuripuka kwa jinsi hali inavyoonekana. Kwanza kabisa napenda kutoa pole kwa wana-Arusha kwa tukio baya hili lililowapata. Pili nawapa pole CHADEMA kwa hili lililotokea katika mkutano wenu. Tatu natoa pole kwa watanzania makini ambao nia yao ni kuona Tanzania yenye amani ambayo inatoa haki kwa watu wote na wanaofaidi matunda ya uhuru wa Nchi yao.

Ndugu zangu, yapo mambo kadhaa ambayo inabidi wewe na mimi tujiulize. Hivi ni nani aliyepanga mpango wa Kurusha bomu katika mkutano waCHADEMA, na je ? Kunauhusiano wowote katika ya bomu la mkutano wa CHADEMA na lile la OLASITI? je CCM inahusika na jmabo hili au la?

Ndugu zangu, naomba nianzie kwenye hili la uhusiano wa bomu la mkutano wa CHADEMA na la OLASITI. Napenda watanzania niwafungue macho juu ya jambo hili. Kwanza mjue kuwa uchaguzi huu ulishapangiwa tarehe za kufanywa mapema hata kabla ya mlipuko wa pale Olasiti. Huku ikijulikana wazi kuwa Arusha ni ngome Kongwe ya CHADEMA na CCM inapahitaji sana , kumekuwa na mbinu za kila namna za chama Tawala CCM kuhakikisha inaimarisha hadhi yake katika jiji hili la Kitalii.

Kama ilivyo kawaida CCM inatabia ya kufanya tathimini ya mapema katika maeneo inahofia hata pale ambapo hakuna upinzani mkali maana haijiamini sana baada ya watu kuongezeka uelewa. Mahesabu yote yamekuwa yakionyesha wazi kuwa katika kata za Arusha CCM haina chake kabisa. Swali walilokuwa wanajiuliza ni namna gani CCM ishinde kata za ARUSHA?

Jibu lilipatikana: MBINU ILIYOTUMIKA MWAKA 1995 kwenye uchaguzi mkuu kwa JIJI LA DAR ES SALAAM lazima itumike kuhakikisha kuwa uchaguzi unahairishwa Arusha huku ikijiaminisha kushinda katika maeneo mengine. Hii ilipangwa kuwa baada ya matokeo ya maeneo mengine kutangazwa huku CCM ikijihakikishia Ushindi basi itawakatisha tamaa wakazi wa Arusha kwa kuona kuwa CHADEMA si kama walivyokuwa wanadhani kuwa inakubalika. Hii mbinu ilisaidia CCM kuchukua majimbo ya DAR baada ya watu kukatishwa tamaa na matokeo ya mikoa mingine. WENYE AKILI MNAELEWA.

Swali liliofuata ni je? tutafanyaje ili uchaguzi uhairishwe? Jibu lilipatikana kuwa ni kwa njia ya kuandaa mtadao utakao vaa sura ya ugaidi kwa kufanya mashambulizi ya mapema kabla ya uchaguzi ili litakapotokea ionekane kuwa ni mwendelezo wa matukio ya kigaidi katika jiji la Arusha. Mpango ulisukwa ukasukika, ndipo bomu la Olasiti lilionekana kuwa ndilo jibu huku wakijua kuwa yuko wa kubebeshwa lawama za awali yaani waislamu kutokana na matukio yaliyokwisha tangulia. Hii ndiyo maana mrusha bomu pamoja na kuwepo Polisi hakuweza kukamatwa. Ni mpango shirikishi wa CCM na POLISI.

Bomu la jumamosi lilikuwa nilakumamilisha mpango uliokusudiwa pale Arusha, ndiyo maana uchaguzi ulihairishwa kwa malengo maalum.
kwa wafuatiliaji wa mambo mtakubaliana na mimi kuwa mazingira ya bomu la Olasiti na la jumamosi kwenye mkutano wa CHADEMA yanafanana kabisa hasa kuhusu namna polisi kwa maana ya serikali inavyoshindwa kukamata mrushaji wa bomu. Hebu jiulize, kulikuwa na sababu gani Polisi kurusha mabomu ya machozi na hata kutumia risasi za moto zilizosababisha kifo badala ya kumkamata mhalifu.

WATANZANIA NAPENDA NIJIWEKE WAZI KUWA MIMI NI MWANA CCM KABISA ila naomba niwaweke wazi kuwa adui wa wawatanzania siyo chama kingine bali ni CCM yenyewe. Je ulishajiuliza swali hili? Hivi kwanini fujo utokea katika maeneo ambayo CCM inakozidiwa na siyo wapinzani wanakozidiwa? Itakuwa ajabu washabiki wa timu inayoongoza kwa mabao kurusha chupa au mawe uwanjani huku wakijua ushindi ni wao. Itakuwa ni jambo la ajabu watu wenye matumaini kuvuruga uchaguzi CCM ndiye mwanzirishi wa vurugu zote katika chaguzi.

CCM inahitaji kuadhibiwa kwa gharama zozote lakini si kwa kumwaga damu, kwanza ni kuhakikisha uchaguzi wa Arusha ukifanyika isipate kiti hata kimoja nawaomba na wana CCM mlioko Arusha msiichague CCM maana ni maadui wa maslahi ya watu na ustawi wao. Huu siyo wakati wa kufurahia vi t-shirt na vikofia na vilemba huku ndugu zetu wanakufa.

Baada ya Arusha, watanzania wote tujipange CCM iondoke madarakani ili wananchi wapate radha mpya ya utawala wenye malengo ya kuwakomboa watu na kujali maslahi ya watu.

ANAYEPINGA NA APINGE LAKINI NAWAACHIA SWALI HILI: KAMA UPINZANI ULIOPO SASA USINGE KUWEPO HALI YA TAIFA INGEKUWAJE?
 
nice analysis mzee na huo ndo ukweli na mpangaji ni mwigulu. nataka niwaambie watanzania mwigulu ni janga la kitaifa
 
Umejieleza vizuri sana mkuu, nimepatwa na huzuni, tatizo tu vyombo vyote tunavyovitegemea kutia ndani tume ya uchaguzi ni mali ya huyo adui mkubwa CCM..!!! Hatuna pa' kukimbilia, inasikitisha sana kwakweli, Busara inahitaji sana ktk siasa!
 
MAKUNDA,Nime pasoma hapa "WATANZANIA NAPENDA NIJIWEKE WAZI KUWA MIMI NI MWANA CCM KABISA ila naomba niwaweke wazi kuwa adui wa wawatanzania siyo chama kingine bali ni CCM yenyewe"
Baba wa Taifa alisema
"wananchi hawa wanaitaji mabadiliko,na kama wasipoyapata ndani ya CCM watayapata nje ya CCM"
TUWAPE NAFASI WATANZANIA WAFANYE MAAMUZI,pasi ya kutishwa na aina yeyote ile ya mtutu,bomu wala maji ya kuwasha.
 
Mwanzo wa mwisho wa CCM ulianza 1999 aliporehemika mwanzilishi,kwa vyovyote vitu hivi MUUNGANO,UJAMAA,CCM,CHAMA KUSHIKA HATAMU,USAWA et.al vilipaswa viondoke na wenyewe wanaojua mizengwe waliyotumia kuvianzisha.Viongozi wa CCM siyo wachambuzi wazuri wa Historia:IKO WAPI DOLA YA RUMI,YU WAPI NAPOLEONI,YU WAPI RAIS WA MAISHA WA UGANDA,YU WAPI MFALME WA AFRIKA-KHADDAFI?I WAPI DOLA YA OOTOMANN ULAYA?IKO WAPI USSR?YU WAPI SADDAM?IKO WAPI KANU YA KENYA?hawa wajiandae kupisha historia na wasijisikie vibaya.Sasa wasitafute kuongeza umri wa kuishi kwa kuanzisha majanga!Yatapita,tutaona,kwa sasa tukubali maumivu kma vile mwanamwali anavyokubali utungu ili kuitwa mzazi!Analysis imetulia!
 
Ndugu wana JF, ni mejitahidi sana kunyamaza lakini sasa naona niongee maana najisikia kama vile moyo wangu unataka kuripuka kwa jinsi hali inavyoonekana. Kwanza kabisa napenda kutoa pole kwa wana-Arusha kwa tukio baya hili lililowapata. Pili nawapa pole CHADEMA kwa hili lililotokea katika mkutano wenu. Tatu natoa pole kwa watanzania makini ambao nia yao ni kuona Tanzania yenye amani ambayo inatoa haki kwa watu wote na wanaofaidi matunda ya uhuru wa Nchi yao.

Ndugu zangu, yapo mambo kadhaa ambayo inabidi wewe na mimi tujiulize. Hivi ni nani aliyepanga mpango wa Kurusha bomu katika mkutano waCHADEMA, na je ? Kunauhusiano wowote katika ya bomu la mkutano wa CHADEMA na lile la OLASITI? je CCM inahusika na jmabo hili au la?

Ndugu zangu, naomba nianzie kwenye hili la uhusiano wa bomu la mkutano wa CHADEMA na la OLASITI. Napenda watanzania niwafungue macho juu ya jambo hili. Kwanza mjue kuwa uchaguzi huu ulishapangiwa tarehe za kufanywa mapema hata kabla ya mlipuko wa pale Olasiti. Huku ikijulikana wazi kuwa Arusha ni ngome Kongwe ya CHADEMA na CCM inapahitaji sana , kumekuwa na mbinu za kila namna za chama Tawala CCM kuhakikisha inaimarisha hadhi yake katika jiji hili la Kitalii.

Kama ilivyo kawaida CCM inatabia ya kufanya tathimini ya mapema katika maeneo inahofia hata pale ambapo hakuna upinzani mkali maana haijiamini sana baada ya watu kuongezeka uelewa. Mahesabu yote yamekuwa yakionyesha wazi kuwa katika kata za Arusha CCM haina chake kabisa. Swali walilokuwa wanajiuliza ni namna gani CCM ishinde kata za ARUSHA?

Jibu lilipatikana: MBINU ILIYOTUMIKA MWAKA 1995 kwenye uchaguzi mkuu kwa JIJI LA DAR ES SALAAM lazima itumike kuhakikisha kuwa uchaguzi unahairishwa Arusha huku ikijiaminisha kushinda katika maeneo mengine. Hii ilipangwa kuwa baada ya matokeo ya maeneo mengine kutangazwa huku CCM ikijihakikishia Ushindi basi itawakatisha tamaa wakazi wa Arusha kwa kuona kuwa CHADEMA si kama walivyokuwa wanadhani kuwa inakubalika. Hii mbinu ilisaidia CCM kuchukua majimbo ya DAR baada ya watu kukatishwa tamaa na matokeo ya mikoa mingine. WENYE AKILI MNAELEWA.

Swali liliofuata ni je? tutafanyaje ili uchaguzi uhairishwe? Jibu lilipatikana kuwa ni kwa njia ya kuandaa mtadao utakao vaa sura ya ugaidi kwa kufanya mashambulizi ya mapema kabla ya uchaguzi ili litakapotokea ionekane kuwa ni mwendelezo wa matukio ya kigaidi katika jiji la Arusha. Mpango ulisukwa ukasukika, ndipo bomu la Olasiti lilionekana kuwa ndilo jibu huku wakijua kuwa yuko wa kubebeshwa lawama za awali yaani waislamu kutokana na matukio yaliyokwisha tangulia. Hii ndiyo maana mrusha bomu pamoja na kuwepo Polisi hakuweza kukamatwa. Ni mpango shirikishi wa CCM na POLISI.

Bomu la jumamosi lilikuwa nilakumamilisha mpango uliokusudiwa pale Arusha, ndiyo maana uchaguzi ulihairishwa kwa malengo maalum.
kwa wafuatiliaji wa mambo mtakubaliana na mimi kuwa mazingira ya bomu la Olasiti na la jumamosi kwenye mkutano wa CHADEMA yanafanana kabisa hasa kuhusu namna polisi kwa maana ya serikali inavyoshindwa kukamata mrushaji wa bomu. Hebu jiulize, kulikuwa na sababu gani Polisi kurusha mabomu ya machozi na hata kutumia risasi za moto zilizosababisha kifo badala ya kumkamata mhalifu.

WATANZANIA NAPENDA NIJIWEKE WAZI KUWA MIMI NI MWANA CCM KABISA ila naomba niwaweke wazi kuwa adui wa wawatanzania siyo chama kingine bali ni CCM yenyewe. Je ulishajiuliza swali hili? Hivi kwanini fujo utokea katika maeneo ambayo CCM inakozidiwa na siyo wapinzani wanakozidiwa? Itakuwa ajabu washabiki wa timu inayoongoza kwa mabao kurusha chupa au mawe uwanjani huku wakijua ushindi ni wao. Itakuwa ni jambo la ajabu watu wenye matumaini kuvuruga uchaguzi CCM ndiye mwanzirishi wa vurugu zote katika chaguzi.

CCM inahitaji kuadhibiwa kwa gharama zozote lakini si kwa kumwaga damu, kwanza ni kuhakikisha uchaguzi wa Arusha ukifanyika isipate kiti hata kimoja nawaomba na wana CCM mlioko Arusha msiichague CCM maana ni maadui wa maslahi ya watu na ustawi wao. Huu siyo wakati wa kufurahia vi t-shirt na vikofia na vilemba huku ndugu zetu wanakufa.

Baada ya Arusha, watanzania wote tujipange CCM iondoke madarakani ili wananchi wapate radha mpya ya utawala wenye malengo ya kuwakomboa watu na kujali maslahi ya watu.

ANAYEPINGA NA APINGE LAKINI NAWAACHIA SWALI HILI: KAMA UPINZANI ULIOPO SASA USINGE KUWEPO HALI YA TAIFA INGEKUWAJE?
mimi nakuunga mkono moja kwa moja mkuu
 
nilipoingia hapa nilikua nimepanga kuja kubeza hizi post za mabomu tumezichoka lakini nimejikuta nasoma mpaka mwisho na kupata point zote za msingi tupu yani hadi raha.
Mtoa mada na hakika tukikaa mi na wewe pamoja tutafanya makubwa sana
naomba nikutafute kwa ridhaa yako mkuu
 
Maneno meeengi lakini kwaya ni ile ile tunayoisikia!
ila katika huo wimbo umepata maneno machache ya kukufanya uokoke. jamaa kaongea point, we unajibu pumpa, weka hoja na wewe, au unatafuta ela ya mlo wa jioni?
 
Kama kungekuwa na ushahidi wa kutosha kuihusisha CDM na vurugu, kingekuwa history sasa hivi. CCM wanafanya kila kitu kuipunguza kasi ya CDM, lakini njama zao zimegundulika. Kama damu itazidi kumwagika Tanganyika ni Mwigulu, Nape na serikali ya CCM
 
Ndugu wana JF, ni mejitahidi sana kunyamaza lakini sasa naona niongee maana najisikia kama vile moyo wangu unataka kuripuka kwa jinsi hali inavyoonekana. Kwanza kabisa napenda kutoa pole kwa wana-Arusha kwa tukio baya hili lililowapata. Pili nawapa pole CHADEMA kwa hili lililotokea katika mkutano wenu. Tatu natoa pole kwa watanzania makini ambao nia yao ni kuona Tanzania yenye amani ambayo inatoa haki kwa watu wote na wanaofaidi matunda ya uhuru wa Nchi yao.

Ndugu zangu, yapo mambo kadhaa ambayo inabidi wewe na mimi tujiulize. Hivi ni nani aliyepanga mpango wa Kurusha bomu katika mkutano waCHADEMA, na je ? Kunauhusiano wowote katika ya bomu la mkutano wa CHADEMA na lile la OLASITI? je CCM inahusika na jmabo hili au la?

Ndugu zangu, naomba nianzie kwenye hili la uhusiano wa bomu la mkutano wa CHADEMA na la OLASITI. Napenda watanzania niwafungue macho juu ya jambo hili. Kwanza mjue kuwa uchaguzi huu ulishapangiwa tarehe za kufanywa mapema hata kabla ya mlipuko wa pale Olasiti. Huku ikijulikana wazi kuwa Arusha ni ngome Kongwe ya CHADEMA na CCM inapahitaji sana , kumekuwa na mbinu za kila namna za chama Tawala CCM kuhakikisha inaimarisha hadhi yake katika jiji hili la Kitalii.

Kama ilivyo kawaida CCM inatabia ya kufanya tathimini ya mapema katika maeneo inahofia hata pale ambapo hakuna upinzani mkali maana haijiamini sana baada ya watu kuongezeka uelewa. Mahesabu yote yamekuwa yakionyesha wazi kuwa katika kata za Arusha CCM haina chake kabisa. Swali walilokuwa wanajiuliza ni namna gani CCM ishinde kata za ARUSHA?

Jibu lilipatikana: MBINU ILIYOTUMIKA MWAKA 1995 kwenye uchaguzi mkuu kwa JIJI LA DAR ES SALAAM lazima itumike kuhakikisha kuwa uchaguzi unahairishwa Arusha huku ikijiaminisha kushinda katika maeneo mengine. Hii ilipangwa kuwa baada ya matokeo ya maeneo mengine kutangazwa huku CCM ikijihakikishia Ushindi basi itawakatisha tamaa wakazi wa Arusha kwa kuona kuwa CHADEMA si kama walivyokuwa wanadhani kuwa inakubalika. Hii mbinu ilisaidia CCM kuchukua majimbo ya DAR baada ya watu kukatishwa tamaa na matokeo ya mikoa mingine. WENYE AKILI MNAELEWA.

Swali liliofuata ni je? tutafanyaje ili uchaguzi uhairishwe? Jibu lilipatikana kuwa ni kwa njia ya kuandaa mtadao utakao vaa sura ya ugaidi kwa kufanya mashambulizi ya mapema kabla ya uchaguzi ili litakapotokea ionekane kuwa ni mwendelezo wa matukio ya kigaidi katika jiji la Arusha. Mpango ulisukwa ukasukika, ndipo bomu la Olasiti lilionekana kuwa ndilo jibu huku wakijua kuwa yuko wa kubebeshwa lawama za awali yaani waislamu kutokana na matukio yaliyokwisha tangulia. Hii ndiyo maana mrusha bomu pamoja na kuwepo Polisi hakuweza kukamatwa. Ni mpango shirikishi wa CCM na POLISI.

Bomu la jumamosi lilikuwa nilakumamilisha mpango uliokusudiwa pale Arusha, ndiyo maana uchaguzi ulihairishwa kwa malengo maalum.
kwa wafuatiliaji wa mambo mtakubaliana na mimi kuwa mazingira ya bomu la Olasiti na la jumamosi kwenye mkutano wa CHADEMA yanafanana kabisa hasa kuhusu namna polisi kwa maana ya serikali inavyoshindwa kukamata mrushaji wa bomu. Hebu jiulize, kulikuwa na sababu gani Polisi kurusha mabomu ya machozi na hata kutumia risasi za moto zilizosababisha kifo badala ya kumkamata mhalifu.

WATANZANIA NAPENDA NIJIWEKE WAZI KUWA MIMI NI MWANA CCM KABISA ila naomba niwaweke wazi kuwa adui wa wawatanzania siyo chama kingine bali ni CCM yenyewe. Je ulishajiuliza swali hili? Hivi kwanini fujo utokea katika maeneo ambayo CCM inakozidiwa na siyo wapinzani wanakozidiwa? Itakuwa ajabu washabiki wa timu inayoongoza kwa mabao kurusha chupa au mawe uwanjani huku wakijua ushindi ni wao. Itakuwa ni jambo la ajabu watu wenye matumaini kuvuruga uchaguzi CCM ndiye mwanzirishi wa vurugu zote katika chaguzi.

CCM inahitaji kuadhibiwa kwa gharama zozote lakini si kwa kumwaga damu, kwanza ni kuhakikisha uchaguzi wa Arusha ukifanyika isipate kiti hata kimoja nawaomba na wana CCM mlioko Arusha msiichague CCM maana ni maadui wa maslahi ya watu na ustawi wao. Huu siyo wakati wa kufurahia vi t-shirt na vikofia na vilemba huku ndugu zetu wanakufa.

Baada ya Arusha, watanzania wote tujipange CCM iondoke madarakani ili wananchi wapate radha mpya ya utawala wenye malengo ya kuwakomboa watu na kujali maslahi ya watu.

ANAYEPINGA NA APINGE LAKINI NAWAACHIA SWALI HILI: KAMA UPINZANI ULIOPO SASA USINGE KUWEPO HALI YA TAIFA INGEKUWAJE?

Mkuu,
umeandika mengi mazuri,na ninakwambia haya maccm yenzio yashukuru BUSARA za viongozi wa CHADEMA,kama ningekuwa ni mimi kiongozi wa CHADEMA walahi MABOMU yangelipuka masaa 24/7,me kwa upande wangu NIMEYACHOKA SANA MAccm.
 
mkuu umenena vema kabisa , haiingii akilini mtu arushe bomu katikati ya mkusanyiko wenye ulinzi wa polisi bila hata kuonekana ni mtu wa aina gani kama siyo njama zao.
je tunaweza kuzuia mashambulizi ya sniper (wadunguaji) wakitaka kumterminate/kumua mtu mashuhuru hapa Tanzania?

wito; Jeshi la polisi livunjwe , ndiyo tutakuwa na imani na usalama wa nchi yetu.
 
Serikali ya Tanzania ya ajabu sana.Baada ya Bomu la Arusha tuliambiwa kuwa watasakwa kokote mpaka wapatikane,yako wapi hadi leo?Leo tena tunasikia kauli zile zile kutoka kwa watu wale wale.

Sasa tunashukuru kwa kuwa kuna video inayoonyesha tukio nzima na aliyerusha BOMU hilo (SOurce:Mbowe taarifa ya habari ya ITV). Tunajua hiyo video watakuwa wanahangaika kuipata but nina Imani CCM hawataipata.Si kila siku Mungu atakuacha uendelee kutenda dhati.Sasa hivi wameumbuka.

Tunasubiri kwa hamu video hiyo ingawa tunapenda iletwe hapa JF ambapo wengi wataipata because is free media.
 
Ndugu wana JF, ni mejitahidi sana kunyamaza lakini sasa naona niongee maana najisikia kama vile moyo wangu unataka kuripuka kwa jinsi hali inavyoonekana. Kwanza kabisa napenda kutoa pole kwa wana-Arusha kwa tukio baya hili lililowapata. Pili nawapa pole CHADEMA kwa hili lililotokea katika mkutano wenu. Tatu natoa pole kwa watanzania makini ambao nia yao ni kuona Tanzania yenye amani ambayo inatoa haki kwa watu wote na wanaofaidi matunda ya uhuru wa Nchi yao.

Ndugu zangu, yapo mambo kadhaa ambayo inabidi wewe na mimi tujiulize. Hivi ni nani aliyepanga mpango wa Kurusha bomu katika mkutano waCHADEMA, na je ? Kunauhusiano wowote katika ya bomu la mkutano wa CHADEMA na lile la OLASITI? je CCM inahusika na jmabo hili au la?

Ndugu zangu, naomba nianzie kwenye hili la uhusiano wa bomu la mkutano wa CHADEMA na la OLASITI. Napenda watanzania niwafungue macho juu ya jambo hili. Kwanza mjue kuwa uchaguzi huu ulishapangiwa tarehe za kufanywa mapema hata kabla ya mlipuko wa pale Olasiti. Huku ikijulikana wazi kuwa Arusha ni ngome Kongwe ya CHADEMA na CCM inapahitaji sana , kumekuwa na mbinu za kila namna za chama Tawala CCM kuhakikisha inaimarisha hadhi yake katika jiji hili la Kitalii.

Kama ilivyo kawaida CCM inatabia ya kufanya tathimini ya mapema katika maeneo inahofia hata pale ambapo hakuna upinzani mkali maana haijiamini sana baada ya watu kuongezeka uelewa. Mahesabu yote yamekuwa yakionyesha wazi kuwa katika kata za Arusha CCM haina chake kabisa. Swali walilokuwa wanajiuliza ni namna gani CCM ishinde kata za ARUSHA?

Jibu lilipatikana: MBINU ILIYOTUMIKA MWAKA 1995 kwenye uchaguzi mkuu kwa JIJI LA DAR ES SALAAM lazima itumike kuhakikisha kuwa uchaguzi unahairishwa Arusha huku ikijiaminisha kushinda katika maeneo mengine. Hii ilipangwa kuwa baada ya matokeo ya maeneo mengine kutangazwa huku CCM ikijihakikishia Ushindi basi itawakatisha tamaa wakazi wa Arusha kwa kuona kuwa CHADEMA si kama walivyokuwa wanadhani kuwa inakubalika. Hii mbinu ilisaidia CCM kuchukua majimbo ya DAR baada ya watu kukatishwa tamaa na matokeo ya mikoa mingine. WENYE AKILI MNAELEWA.

Swali liliofuata ni je? tutafanyaje ili uchaguzi uhairishwe? Jibu lilipatikana kuwa ni kwa njia ya kuandaa mtadao utakao vaa sura ya ugaidi kwa kufanya mashambulizi ya mapema kabla ya uchaguzi ili litakapotokea ionekane kuwa ni mwendelezo wa matukio ya kigaidi katika jiji la Arusha. Mpango ulisukwa ukasukika, ndipo bomu la Olasiti lilionekana kuwa ndilo jibu huku wakijua kuwa yuko wa kubebeshwa lawama za awali yaani waislamu kutokana na matukio yaliyokwisha tangulia. Hii ndiyo maana mrusha bomu pamoja na kuwepo Polisi hakuweza kukamatwa. Ni mpango shirikishi wa CCM na POLISI.

Bomu la jumamosi lilikuwa nilakumamilisha mpango uliokusudiwa pale Arusha, ndiyo maana uchaguzi ulihairishwa kwa malengo maalum.
kwa wafuatiliaji wa mambo mtakubaliana na mimi kuwa mazingira ya bomu la Olasiti na la jumamosi kwenye mkutano wa CHADEMA yanafanana kabisa hasa kuhusu namna polisi kwa maana ya serikali inavyoshindwa kukamata mrushaji wa bomu. Hebu jiulize, kulikuwa na sababu gani Polisi kurusha mabomu ya machozi na hata kutumia risasi za moto zilizosababisha kifo badala ya kumkamata mhalifu.

WATANZANIA NAPENDA NIJIWEKE WAZI KUWA MIMI NI MWANA CCM KABISA ila naomba niwaweke wazi kuwa adui wa wawatanzania siyo chama kingine bali ni CCM yenyewe. Je ulishajiuliza swali hili? Hivi kwanini fujo utokea katika maeneo ambayo CCM inakozidiwa na siyo wapinzani wanakozidiwa? Itakuwa ajabu washabiki wa timu inayoongoza kwa mabao kurusha chupa au mawe uwanjani huku wakijua ushindi ni wao. Itakuwa ni jambo la ajabu watu wenye matumaini kuvuruga uchaguzi CCM ndiye mwanzirishi wa vurugu zote katika chaguzi.

CCM inahitaji kuadhibiwa kwa gharama zozote lakini si kwa kumwaga damu, kwanza ni kuhakikisha uchaguzi wa Arusha ukifanyika isipate kiti hata kimoja nawaomba na wana CCM mlioko Arusha msiichague CCM maana ni maadui wa maslahi ya watu na ustawi wao. Huu siyo wakati wa kufurahia vi t-shirt na vikofia na vilemba huku ndugu zetu wanakufa.

Baada ya Arusha, watanzania wote tujipange CCM iondoke madarakani ili wananchi wapate radha mpya ya utawala wenye malengo ya kuwakomboa watu na kujali maslahi ya watu.

ANAYEPINGA NA APINGE LAKINI NAWAACHIA SWALI HILI: KAMA UPINZANI ULIOPO SASA USINGE KUWEPO HALI YA TAIFA INGEKUWAJE?

Mkuu nakubaliana na wewe CCM ilitumia mbinu kama hizo Zanzibar,Watanzania wakawa wanawaona Wazaniabari wakorofi,wadini,alqaida,wauwaji nk

sasa mnajionea wenyewe na nyoka
 
Makunda umenena kweli; kwa hakika adui wa Tanzania ni CCM na adui wa CCM si CHADEMA, NCCR wala CUF bali ni HALI NGUMU YA MAISHA YA WATANZANIA. Tatizo ni kuwa viongozi wa CCM hawataki kukubali hii wanakimbia ukweli. HADI LINI KIKWETE, MANGULA, KINANA na Baraza lote la mawaziri kukubali kuamini uongo huu? Kwa nini JK ukubali akili ndogo (NAPE, MWIGULU, WASSIRA, LUKUVI, NCHIMBI, ) Iongoze nchi??? Kiwete inawezekana kabisa kwa kuwa umekubali kuwauzia nchi Wamarekani na waChina hutakwenda THE HEGUE , watafumba macho na masikio wasisike kwani wanapata watakacho. Unaweza kabisa kukwepa mahakama za Tz kwa kuwa wewe unayo kinga. LAKINI jiulize je, kwa MOLA WAKO UTASIMAMA WAPI????? KIKWETE kumbuka kuna maisha baada ya haya na huko hakuna kinga!

EJL
 
Maelezo ya Nape yanaonyesha kujihami zaidi kuliko busara. Anasasema Chadema wamepanga na kulipua bomu ili kuvuruga uchaguzi baada ya kuona wamezidiwa. Ana ushahidi gani juu ya hilo? Umati uliokuwepo Soweto hauwezi kumshawishi mtu yeyote kuwa CDM walizidiwa bali kinyume chake. Kimantiki waliozidiwa ni CCM. Kwa hitimisho la Nape inaonyesha aliyezidiwa ndiye aliyepanga kuharibu uchaguzi na kwa Arusha ni dhahiri CCM walizidiwa.
 
[FONT=times new
roman]Ndugu wana JF, ni mejitahidi sana kunyamaza lakini sasa naona
niongee maana najisikia kama vile moyo wangu unataka kuripuka kwa jinsi
hali inavyoonekana. Kwanza kabisa napenda kutoa pole kwa wana-Arusha
kwa tukio baya hili lililowapata. Pili nawapa pole CHADEMA kwa hili
lililotokea katika mkutano wenu. Tatu natoa pole kwa watanzania makini
ambao nia yao ni kuona Tanzania yenye amani ambayo inatoa haki kwa watu
wote na wanaofaidi matunda ya uhuru wa Nchi yao.

Ndugu zangu, yapo mambo kadhaa ambayo inabidi wewe na mimi tujiulize.
Hivi ni nani aliyepanga mpango wa Kurusha bomu katika mkutano waCHADEMA,
na je ? Kunauhusiano wowote katika ya bomu la mkutano wa CHADEMA na
lile la OLASITI? je CCM inahusika na jmabo hili au la?

Ndugu zangu, naomba nianzie kwenye hili la uhusiano wa bomu la mkutano
wa CHADEMA na la OLASITI. Napenda watanzania niwafungue macho juu ya
jambo hili. Kwanza mjue kuwa uchaguzi huu ulishapangiwa tarehe za
kufanywa mapema hata kabla ya mlipuko wa pale Olasiti. Huku ikijulikana
wazi kuwa Arusha ni ngome Kongwe ya CHADEMA na CCM inapahitaji sana ,
kumekuwa na mbinu za kila namna za chama Tawala CCM kuhakikisha
inaimarisha hadhi yake katika jiji hili la Kitalii.

Kama ilivyo kawaida CCM inatabia ya kufanya tathimini ya mapema katika
maeneo inahofia hata pale ambapo hakuna upinzani mkali maana haijiamini
sana baada ya watu kuongezeka uelewa. Mahesabu yote yamekuwa yakionyesha
wazi kuwa katika kata za Arusha CCM haina chake kabisa. Swali
walilokuwa wanajiuliza ni namna gani CCM ishinde kata za ARUSHA?

Jibu lilipatikana: MBINU ILIYOTUMIKA MWAKA 1995 kwenye uchaguzi mkuu
kwa JIJI LA DAR ES SALAAM lazima itumike kuhakikisha kuwa uchaguzi
unahairishwa Arusha huku ikijiaminisha kushinda katika maeneo mengine.
Hii ilipangwa kuwa baada ya matokeo ya maeneo mengine kutangazwa huku
CCM ikijihakikishia Ushindi basi itawakatisha tamaa wakazi wa Arusha kwa
kuona kuwa CHADEMA si kama walivyokuwa wanadhani kuwa inakubalika. Hii
mbinu ilisaidia CCM kuchukua majimbo ya DAR baada ya watu kukatishwa
tamaa na matokeo ya mikoa mingine. WENYE AKILI MNAELEWA.

Swali liliofuata ni je? tutafanyaje ili uchaguzi uhairishwe? Jibu
lilipatikana kuwa ni kwa njia ya kuandaa mtadao utakao vaa sura ya
ugaidi kwa kufanya mashambulizi ya mapema kabla ya uchaguzi ili
litakapotokea ionekane kuwa ni mwendelezo wa matukio ya kigaidi katika
jiji la Arusha. Mpango ulisukwa ukasukika, ndipo bomu la Olasiti
lilionekana kuwa ndilo jibu huku wakijua kuwa yuko wa kubebeshwa lawama
za awali yaani waislamu kutokana na matukio yaliyokwisha tangulia. Hii
ndiyo maana mrusha bomu pamoja na kuwepo Polisi hakuweza kukamatwa. Ni
mpango shirikishi wa CCM na POLISI.

Bomu la jumamosi lilikuwa nilakumamilisha mpango uliokusudiwa pale
Arusha, ndiyo maana uchaguzi ulihairishwa kwa malengo maalum.
kwa wafuatiliaji wa mambo mtakubaliana na mimi kuwa mazingira ya bomu la
Olasiti na la jumamosi kwenye mkutano wa CHADEMA yanafanana kabisa hasa
kuhusu namna polisi kwa maana ya serikali inavyoshindwa kukamata
mrushaji wa bomu. Hebu jiulize, kulikuwa na sababu gani Polisi kurusha
mabomu ya machozi na hata kutumia risasi za moto zilizosababisha kifo
badala ya kumkamata mhalifu.

WATANZANIA NAPENDA NIJIWEKE WAZI KUWA MIMI NI MWANA CCM KABISA ila
naomba niwaweke wazi kuwa adui wa wawatanzania siyo chama kingine bali
ni CCM yenyewe. Je ulishajiuliza swali hili? Hivi kwanini fujo utokea
katika maeneo ambayo CCM inakozidiwa na siyo wapinzani wanakozidiwa?
Itakuwa ajabu washabiki wa timu inayoongoza kwa mabao kurusha chupa au
mawe uwanjani huku wakijua ushindi ni wao. Itakuwa ni jambo la ajabu
watu wenye matumaini kuvuruga uchaguzi CCM ndiye mwanzirishi wa vurugu
zote katika chaguzi.

CCM inahitaji kuadhibiwa kwa gharama zozote lakini si kwa kumwaga damu,
kwanza ni kuhakikisha uchaguzi wa Arusha ukifanyika isipate kiti hata
kimoja nawaomba na wana CCM mlioko Arusha msiichague CCM maana ni maadui
wa maslahi ya watu na ustawi wao. Huu siyo wakati wa kufurahia vi
t-shirt na vikofia na vilemba huku ndugu zetu wanakufa.

Baada ya Arusha, watanzania wote tujipange CCM iondoke madarakani ili
wananchi wapate radha mpya ya utawala wenye malengo ya kuwakomboa watu
na kujali maslahi ya watu.

ANAYEPINGA NA APINGE LAKINI NAWAACHIA SWALI HILI: KAMA UPINZANI
ULIOPO SASA USINGE KUWEPO HALI YA TAIFA
INGEKUWAJE?
[/FONT]

kwa jinsi ulivyoandika unajipambanua wazi kuwa wewe ni mwanachadema ingawa unajiita kuwa ni mwana ccm. njaa hizi zitatumaliza kabisa
 
Back
Top Bottom