Huu ndio uvaaji gani?

Matajiri wa Osterbay wanaTanzania yao..

Imagine . Kuwa Kila siku ya jmos kuanzia saa 12 asubuh had saa 4 asubuh. Njia ile kuanzia Agha khan hosp kupigia daraja la tanzanite, uje barabara ya coco hadi karibia na police officers mess.
Inafungwa kwa ajili ya wakimbiaji na wanaofanya mazoezi.

Hakuna boda. Bajaji wala gar inahoruhusiwa kupita.

Ndio maana unaona barabara nyeupe.
Narudia. Ni Kila jmosi . Muda huo.

Seran siku moja jumuika huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…