Huu ndio uongozi wa Mh. Freeman Mbowe CHADEMA

Huu ndio uongozi wa Mh. Freeman Mbowe CHADEMA

Vipi huyu shetani wenu anaeleta ukabila? tumuache aje aigawe nchi na kusababisha ukabila???
Wote washenzi tuu pamoja na Jipumba kwa kueneza udini utao kuja kugawa taifa letu.

Umeshindwa kuwa kiongozi mzuri wa familia yako, chama chako je taifa utaweza??
Shindwa na mlegee kwa jina la Yesu.
Kwa hiyo justification yenu ya kuiba kura ni ukabila sio, yaani mpaka hela za tetemeko mnapiga hamjari wa jane wala yatima. Halafu unapata wapi nguvu ya kumtaja yesu.
 
Hakuna kiongozi yeyote wa cdm anapigania ufisadi hivi sasa hukaa kimya wanaogopa kivuli chao walichokikumbatia

Leo wanasema democrasia ilhali wao wenyewe hawana democrasia
 
Kwa hiyo justification yenu ya kuiba kura ni ukabila sio, yaani mpaka hela za tetemeko mnapiga hamjari wa jane wala yatima. Halafu unapata wapi nguvu ya kumtaja yesu.
Unajua sababu ya magufuli kumfukuza yule mkurugenzi wewe? emb acha upuuzi wako.

Mwambie huyo mijicho akatembee na malaya zake huko halafu ikitokea shida aje kugawa misaada maana ndo njia pekee ya kuwateka watanzania wajinga ila nakuhakikishia sasa ivi watanzania wanajielewa bana hawatongozeki namna hiyo.
Nakuhakikishia tanzania hamna upinzani
 
Hakuna kiongozi yeyote wa cdm anapigania ufisadi hivi sasa hukaa kimya wanaogopa kivuli chao walichokikumbatia

Leo wanasema democrasia ilhali wao wenyewe hawana democrasia
Mbowe nae si jizi tuu embu fungua hiyo link niliyoweka hapo ya marehemu chacha wangwe upate kujionea ukweli wa mambo.

NB:Ndege wanaofanana huruka pamoja.
 
Kwa hiyo justification yenu ya kuiba kura ni ukabila sio, yaani mpaka hela za tetemeko mnapiga hamjari wa jane wala yatima. Halafu unapata wapi nguvu ya kumtaja yesu.
Mimi mwenyewe natokea kaskzini ila ukabila wa mbowe sio mpango wala nini
 
We hujui kitu,aliyemuondoa Slaa Chadema ni Josephine.
Embu fikiria alivyopigwa mawe yule mwanamke kipindi cha uchaguzi? we unategemea angevumilia upuuzi huo wa mbowe? mimi namuunga mkono kwa asilimia 100% huyu mwanamke kwa sababu ni jasiri ameweza kusimama kidete na mume wake.

Nshasema tena huyo mhuni hana lolote tanzania tushamfahamu toka malumbano yake na chacha wangwe na zitto kabwe alishayasema tena kwa hiyo tunamfahamu kiundani zaid hilo halina ubishi hata umtete vipi ukweli humuweka mtu huru.
 
Mbona sioni hoja hapa? mtoa hoja umeongelea nini? nimesoma na kurudia sijapata hoja mtambuka ila majungu toka kwa mtu asiejitambua! Jiulize maswali machache yafuatayo:

1. Kwanini hamumpendi Mbowe awe Mwenyekiti CHADEMA wakati nyie mko CCM?

2. Je mbowe na Lipumba nani amekua madarakani muda mrefu zaidi? Kwanini mnasema mbowe amekua wa kudumu huku Lipumba aliekaa muda mrefu zaidi mnamuunga mkono?

3. Kwanini msiwe mnaongelea mambo yamayoweza kuleta mabadiriko chanya badala ya kudumu kwenye majungu yasiyosaidia taifa wala vizazi vyako?

4. Hivi CHADEMA wakianza kuwashauri CCM kuwa mumchague mtu kuwa Mwenyekiti mtaufuata ushauri huo?
 
Embu fikiria alivyopigwa mawe yule mwanamke kipindi cha uchaguzi? we unategemea angevumilia upuuzi huo wa mbowe? mimi namuunga mkono kwa asilimia 100% huyu mwanamke kwa sababu ni jasiri ameweza kusimama kidete na mume wake.

Nshasema tena huyo mhuni hana lolote tanzania tushamfahamu toka malumbano yake na chacha wangwe na zitto kabwe alishayasema tena kwa hiyo tunamfahamu kiundani zaid hilo halina ubishi hata umtete vipi ukweli humuweka mtu huru.

Wewe umekaririshwa pumba hizo toka chama chakavu
 
Vijana wa ccm bana sijuwi wanafikiriaga kwa kutumia kitu gani
 
Uongo na unafiki tz ni tatizo,naiombea nchi hii ili tatizo likiisha tutasonga mbele......bila hivyo hata mh magu anaweza kukwama kwa unafiki wa baadhi ua watz,
 
Naona ukitoka povu na kuweka mbegu ya ufitini huna ukweli kwenye hoja yako dhibitisha kwa kuweka ushaid ili tukuunge mkono sijaiona elimu ulosema unatupa Bali uchichezi tuu hapa nauona una bahati sheria INA macho inachagua wa kuwafanyia uchochezi uje uwaseme wa kijani uone
 
mkuu,Mbona kikwete alimtema mshirika wake lowasa lkn husemi hilo isipokuwa mbowe kumtema slaa unaona haaminiki?!!...so unataka kutuambia kuwa hata jk haaminiki kwa sababu alimtema EL?
JK hakung'ang'ania madaraka. Ila watu makengeza akiupata urahisi atabadili na katiba ya nchi ili awe rahisi wa maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom