Kweli kabisa mkuu, mimi tokea niumizwe zamani hizo, sijawahi kuumizwa tena. Sasa hivi nimekua nunda.Mwanaume anaumizwa mara moja tu na mapenzi bhasii baada ya Hapo unakuwa mzoefu kuhusu huu upuuzi unaitwa Maumivu ya mapenzi. Ukiona unaumizwa na mpenzi zaidi ya mara moja bhasi una KASORO!
Kuumizwa na mapenzi zaidi ya mara moja achi wanawake hao ndo hulia kila siku kuhusu mapenzi.
Imeishaa hiyo.View attachment 1224819
Ukilinganisha na kaleeee ka story kako ulikokuwa unahudumia mimba ya kidume mwenzio[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ka ukweli hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakumbukumbu wewe huwezi amini yule mtoto nimepewa na anatumia jina langu aiseeeeeUkilinganisha na kaleeee ka story kako ulikokuwa unahudumia mimba ya kidume mwenzio[emoji3][emoji3]
Teh teh duu hatar aisee... Naukumbuka na ndo umefanya nifuatilie nyuzi zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakumbukumbu wewe huwezi amini yule mtoto nimepewa na anatumia jina langu aiseeeee
[emoji23][emoji23] Aya maisha sio poa
Jf hataree sanaInasemekana ukiona mapenzi hayakuumizi tena ujue umefikia phd ya UMALAYA.