Huu ndio ukweli mtupu


Hahahahhaaahhh...,
Daahh!!...wewe ndio umeua kabisa..
 
Mkuu gentamycine du! Mbona wewe mwenyewe ndio jasusi! Salute ya
 
GENTAMYCINE

Baada ya miaka mitatu uje hapa kutoa ushuhuda wa huyo unayemsema kama atakuwa karudi kwa mola wake. Tunakuombea usitangulie wewe ili uje utupe ushuhuda

Wewe Na Hao Wote Waliokupa Like Nimewaona Katika Ulimwengu Wa Roho Kuwa Hamtafikisha Hata Miezi 6 Ijayo Mtamtangulia FISADI.
 

Hivi nyie si ndio mliotuambia mwaka 2005 jk ana ngoma sasa leo unataka tena kuanza kuhamasisha unyanyapaa kwa mmoja wa wagombea?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu gentamycine du! Mbona wewe mwenyewe ndio jasusi! Salute ya
 
Tanzania sasa inaelekea kuzuri, muhimu chama hiki kugawanyika hili tupate mabadiliko.

Mungu ibariki Tanzania.
 
huyo siyo jasusi hata ,jasusi hapa hapa tu majibu yanapatikana siyo kulala hospitali miezi mitatu,Hizi ni stori za vijiweni tumezichoka, aliweka uzi hapa kipindi kile OKWI yupo Yanga kuwa anahii kitu na Ngasa pia sasa wenzie wameshafanya vipimo na wanapiga ndinga huko kwa watu
Hivi nyie si ndio mliotuambia mwaka 2005 jk ana ngoma sasa leo unataka tena kuanza kuhamasisha unyanyapaa kwa mmoja wa wagombea?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mleta mada umeeleweka,lkn miaka mitatu inayokadiriwa mbona inatosha kwenda Magogoni akatumikia umma wa Watz?
Aidha,bado yy ana hoja hiyo,kwa nn mwingine amepitishwa wkt kwenye uzi wako umemweka kundi moja na yule wa kwanza? Why wasikatwe wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…