Khaa!! Usafi upi unauongelea? usafi wa mwili (michepuko)? usafi wa mdomo (lugha chafu)? au kutoweka vitu mahali pake? Funguka banaUkweli kuhusu maisha ya wanandoa hasa katika kipengele cha usafi ni kwamba,Ukikuta mwanaume ni msafi,basi Mwanamke atakuwa mchafu.Na Mwanamke akiwa msafi,vilevile mwanaume atakuwa mchafu.Sasa hapo usipokuwa makini ndoa itakushinda mapema.La kufanya asiye na mapungufu amwambie mwenzie wapi anakokosea.Shida wanandoa wanaogopana kuhusu swala Hilo.Ukiwa mwuwazi kwa mwenzio nae aliye na mapungufu akawa mwelewa,basi maisha yatasonga.
Ukitoa herufi 'N' katika neno NDOA utapata neon DOA na ukishindwa kurudisha herufi 'N' itakulazimu utoe herufi 'D' ili usiwe na DOA na hivyo utabaki na neno OA. huyo utakaye muowa atakuwa msafi.Ndoaaa n sawa na DOA likiingia kwenye nguo n ngumu kutoka .niishie hapo