Huu ndio ukweli juu ya kuchafuliwa kwa Rais Magufuli na hili gazeti

KIBST

JF-Expert Member
Jul 22, 2017
517
2,152
Watanzania tufikie mahali fulani tuache kuwatukuza wazungu. Hawa ndio wauaji wakubwa kwenye hii dunia. Waleta machafuko kwa maslahi yao binafsi tujaribu kujifunza yanayotokea nchi zilizo kwenye vita sasa hivi ni hawa wazungu ndio wanainjia haya

Nikirejea kichwa changu cha habari.

Kumekuwa na trends kubwa sana ya gazeti la economics kumchafua rais Magufuli na hata kumtukana kabsa. Hapa ngoja tuseme ukweli haijawahi kutokea rais kama Magufuli huyu ni level nyingne kabsa aliyethubutu kuwatisha haya makampuni makubwa duniani na kuwa na msimamo thabiti juu ya rasilimali zetu hivyo msitegemee kabsa hili litawapendeza hawa jamaa

Mfano, Labda tukisema ni Accacia wapo nyuma ya hili la kumchafua Rais Magufuli kwa kuhonga hao waandishi wa haya makampuni makubwa ya upashaji habari kwa lengo la kusambaza habari za uongo kama wasemavyo sasa????

Kwani ni lini sisi watanzania tuliwahi kuwa na maisha ya asali na maziwa kabala ya Magufuli? Hapa wanachojaribu ni kumtisha Rais Magufuli ili kulegeza msimamo wake juu ya rasilimali zetu ili waendelee kutuibia na kujinufaisha...

Kuna watu humu ndani eti wanasema wacha watuibie maana tuliingia nao mikataba sisi wenyewe. Ni ujinga kusema haya maneno. Kosa ni kurudia kosa na ndio maana sasa tumegoma kurudia makosa.

Sasa hili linawaumiza sana hawa wazungu na sasa wapo tayari kabsa kuona nchi hii inaingia machafukoni kuhakikisha Magufuli anaondoka madarakani ili waendeleze ujinga wao. Hakuna mzungu yupo tayari kuona nchi kama yetu yenye rasilimali lukuki ikawa na rais kama Magufuli.

Rais ambaye mpaka sasa ameishakataa kujipendekeza kwao hata kutoa mguu wake nchini. Hili linawaumiza sana washindwe jua Magufuli ni rais wa aina gani. Tutegemee chochoko nyingi mno juu ya nchi yetu.

Ni serikali yetu inachotakiwa kufanya ni kuendelea kukaza hapo hapo hakuna kuwachaekea.

Halafu kinachouma zaidi ushabiki wa hawa wenzetu wa upande wa pili CHADEMA kushabikia kila baya linalosema juu ya nchi yetu kisa tu rais katoka CCM....hii inaumiza sana

Hivi nyie mnaolalamika maisha ya Tanzania yamekuwa magumu ebu toeni reference ya nchi kumi kati ya nchi zote Afrika kutoa waarabu ambayo tungetamani tuwe na Rais kama wao na maisha yao pia?????

All in all Magufuli tunamtukana sana but a guy ana lengo zuri sana na nchi hii bahati mbaya anaongoza taifa la watu waajabu kweli na kwa dunia tunaongoza kwa unafiki
 
Gazeti la Economics ndiyo lipi?
Halafu wewe unamuona Raisi Magufuli kama Lulu hivi ?? Kweli wazungu hawajakosea kimuita A Rogue President. Huyu ni Raisi wa ajabu sana kuwahi tokea hapa nchini, wa ajabu mno. Nchi imemshinda, anamua kuleta siasa za kibaguzi, Kikanda, Kikabila na mabavu yani typically Tyrant. Kabla yake hatukuwahi kuwa na mtu wa namna hii, huyu ndiyo wa kwanza aliyeamua kuvunja miiko ya Kikatiba ya nchi yetu inayokataza ubaguzi wa aina yoyote ile na ameamua kufanya hivyo majukwaani kabisa.

Kabla yake hatukuwahi kuwa na Raisi wa hivi......
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba imekuwa ikisemekana hivyo kwamba wazungu wanachokochoko sana, lakini chokochoko zao wanazifanya kwa umakini wa hali ya juu mno,tofauti na sisi tunavyojidifend, hapa ni namaanisha bila shaka hao Wazungu wameona TANZANIA ya Leo haina ule umoja wao, kupitia hapo wanataka kuleta nuksi.

Lakini ukiangalia ukweli ni kwamba hatuna mshikamano kweli,Leo Mpinzani anaonekana adui hastahili mema ya Nchi, pitia kauli za Mnyeti na wengineo....sasa kwa hali kama hiyo unadhani chochoko zikiletwa ni Watanzania wangapi watasimama kuzipinga, ninawaza tu.......Tuiombee Tanzania irudi kwenye mstari wake, amani ya Nchi hii inatuhusu wote, tunapokosea tukiri na kujirekebisha........MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Ni kweli hawa wazungu ndio waliomuua akwilina,ben saanane,hawapandishi satumishi mishahara,wameongeza bei ya sukari,wameongezabei ya mafuta ya kula,wanamimya demokrasia,wamegeuza jeshi lao TRA,wanahamasisha ukanda,waongowaongo tu.WAZUNGU HAWA WAKANDA YA ZIWA WABAYA SANA.Mleta mada inaonesha akili yako ipo kwenye pumb...u la bibi yako badala ya kichwani kwako!!
Hizi kauli za mipasho ya siasa ni shida kwelikweli. Tukuweni wazalendo jamani.
 
Sijui kama hili ni fumbo au nini. Nimefungua macho yote nikasoma taratiibu sikumwona huyo mchafuzi wala huo uchafuzi wake. Zaidi sana nimeambiwa kuwa mkuu kakataa mali zetu zisitoke. Sijui amezifungia wapi na alimnyima nani.
Jamani, tukiandika tuandike kieleweke sio mafumbo. Nadhani hofu nyingi zimewaingia watu hata akiandika hajui aandikacho
 
Watanzania tufikie mahali fulani tuache kuwatukuza wazungu. Hawa ndio wauaji wakubwa kwenye hii dunia. Waleta machafuko kwa maslahi yao binafsi tujaribu kujifunza yanayotokea nchi zilizo kwenye vita sasa hivi ni hawa wazungu ndio wanainjia haya
Nikirejea kichwa changu cha habari.

Kumekuwa na trends kubwa sana ya gazeti la economics kumchafua rais Magufuli na hata kumtukana kabsa. Hapa ngoja tuseme ukweli haijawahi kutokea rais kama Magufuli huyu ni level nyingne kabsa aliyethubutu kuwatisha haya makampuni makubwa duniani na kuwa na msimamo thabiti juu ya rasilimali zetu hivyo msitegemee kabsa hili litawapendeza hawa jamaa

Mfano what if tukisema ni Accacia wapo nyuma ya hili la kumchafua rais Magufuli kwa kumhonga hao waandishi wa haya makampuni makubwa ya upashaji habari kwa lengo la kuspread false news kama wasemavyo sasa????

Kwani ni lini sisi watanzania tuliwahi kuwa na maisha ya asali na maziwa kabala ya Magufuli????Hapa wanacho jaribu ni kumtisha maguli kulegeza msimamo wake juu ya rasilimali zetu ili waendelee kutuibia na kujinufaisha...

Kuna watu humu ndani eti wanasema wacha watuibie maana tuliingia nao mikataba sisi wenyewe....Ni ujinga kusema haya maneno. Kosa ni kurudia kosa na ndio maana sasa tumegoma kurudia makosa. Sasa hili linawaumiza sana hawa wazungu na sasa wapo tayari kabsa kuona nchi hii inaingia machafukoni kuhakikisha Magufuli anaondoka madarakani ili waendeleze ujinga wao. Hakuna mzungu yupo tayari kuona nchi kama yetu yenye rasilimali lukuki ikawa na rais kama Magufuli.

Rais ambaye mpaka sasa ameishakataa kujipendekeza kwao hata kutoa mguu wake nchini. Hili linawaumiza sana washindwe jua Magufuli ni rais wa aina gani.
Tutegemee chochoko nyingi mno juu ya nchi yetu.

Ni serikali yetu inachotakiwa kufanya ni kuendelea kukaza hapo hapo hakuna kuwachaekea.
Tatizo unalikwepa ni kuua watu ovyoovyo wasiokua na hatia kitu ambacho sisi watanzania hatujazoea tatizo sio wazungu
 
wazungu ndo walimpiga risasi Tundu Lissu?
Wazungu ndo walimpoteza Ben Saanane?
Wazungu ndo walimteka Azory na kumpoteza?
Wazungu ndo walimuua Mawazo?
wazungu ndo walimpiga risasi Acqulina?
Wazungu ndo wanasigina katiba ya nchi?
Nyie ccm hamfai wote
 
GazetI la Economics ndiyo lipi?
Halafu wewe unamuona Raisi Magufuli kama Lulu hivi ?? Kweli wazungu hawajakosea kimuita He is a Rogue President. Huyu ni Raisi ws ajabu sana kuwahi tokea hapa nchini, wa ajabu mno. Nchi imemshinda, anamua kuleta siasa za kibaguzi na mabavu yani typically Tyrant.
Hahahahaha Mtakatifu, malaika, Lulu dah ana majina mengi!
 
Tatizo unalikwepa ni kuua watu ovyoovyo wasiokua na hatia kitu ambacho sisi watanzania hatujazoea tatizo sio wazungu
Hili suala la KUMHUSISHA MAGUFULI na mauji TUNAPATA DHAMBI sisi wenyewe......
Na amini kabsa kwa asilimia zote tunamsingizia mzee wa watu....
Hajawai kuwa na HISTORIA YA MAUAJI huko nyuma kipindi ni MBUNGE hata kuhusishwa....
 
wewe ni mjinga kweli aisee, wazungu ndo walimpiga risasi Tundu Lissu?
Wazungu ndo walimpoteza Ben Saanane?
Wazungu ndo walimteka Azory na kumpoteza?
Wazungu ndo walimuua Mawazo?
wazungu ndo walimpiga risasi Acqulina?
Wazungu ndo wanasigina katiba ya nchi?
Nyie ccm mmelaaniwa wote
Mkuu tuwekee ushaidi wa MAGUFULI kuhusika na huu udhalimu hapa....
Ukifanya hivyo mimi kuanza leo SITAMUUNGA MAGUFULI MKONO.....
Waliompiga TUNDU LISSU lisasi wanaweza wakawa ni hawa wawili NI CHADEMA wenyewe wakiongozwa na mbowe AU hao hao wazungu KUTIMIZA LENGO LAO LA KUPAMABANA NA MAGUFULI....
Kuhusu sanane ni ukweli usiofichika unganisha dot juu ya LISSU na sanane....HAPA NI HAO HAO UFIPA wanahusika sana KWA LENGO LILE LILE LA LISSU juu ya KUICHAFUAB SERIKALI HII...Hujiulizi kwanini MBOWE hawajawai kuwa serious juu ya UPOTEVU WA SANANE......HATA TUKIO LA kiongozi wa CHADEMA KINONDONI lina ukakasi sana
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba imekuwa ikisemekana hivyo kwamba wazungu wanachokochoko sana, lakini chokochoko zao wanazifanya kwa umakini wa hali ya juu mno,tofauti na sisi tunavyojidifend, hapa ni namaanisha bila shaka hao Wazungu wameona TANZANIA ya Leo haina ule umoja wao,kupitia hapo wanataka kuleta nuksi, lakini ukiangalia ukweli ni kwamba hatuna mshikamano kweli,Leo Mpinzani anaonekana adui hastahili mema ya Nchi, pitia kauli za Mnyeti na wengineo....sasa kwa hali kama hiyo unadhani chochoko zikiletwa ni Watanzania wangapi watasimama kuzipinga, ninawaza tu.......Tuiombee Tanzania irudi kwenye mstari wake, amani ya Nchi hii inatuhusu wote, tunapokosea tukiri na kujirekebisha........MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Nyinyi ndio waafrica msiojitambua yaani mnawasema vibaya wazungu wakati huo huo mnaenda makanisani kuabudu.

Mnasahau kwamba haya makanisa na dini vyote ameviletaa mzungu kama mpo serious hamuwataki wazungu basi bomoeni makanisa na futeni dini ya mzungu sio mnakuja hapa kulalamika kuhusu wazungu mara hivi mara vilee

Halafu mnaenda makanisani hebu acheni kuchosha akili zetu
 
Hili suala la KUMHUSISHA MAGUFULI na mauji TUNAPATA DHAMBI sisi wenyewe......
Na amini kabsa kwa asilimia zote tunamsingizia mzee wa watu....
Hajawai kuwa na HISTORIA YA MAUAJI huko nyuma kipindi ni MBUNGE hata kuhusishwa....

Wewe kumeshindwa kuona kama Raisi Magufuli ameharibu nchi ??? Akitoka ndiyo mtaona madhara yake ninyi endeleeni kumshabikia tu...
 
Nyinyi ndio waafrica msiojitambua yaani mnawasema vibaya wazungu wakati huo huo mnaenda makanisani kuabudu.

Mnasahau kwamba haya makanisa na dini vyote ameviletaa mzungu kama mpo serious hamuwataki wazungu basi bomoeni makanisa na futeni dini ya mzungu sio mnakuja hapa kulalamika kuhusu wazungu mara hivi mara vilee

Halafu mnaenda makanisani hebu acheni kuchosha akili zetu
Msela wa Manzese ishu vipi......nadhani hujanisoma vizuri, hembu ukipata muda rudia tena Msela wangu utagundua nimeandika nini?
 
Back
Top Bottom