Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,801 Reaction score 4,908 Jun 9, 2014 #2 ha haa haaaa kweli mkuu na ni ka ugonjwa sugu kweli maskini bibi wa watu..!
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 922 Jun 9, 2014 #3 Haa haa haaa!! ukizeeka huna soko... noumer sana... umetisha
Njaa JF-Expert Member Joined Dec 6, 2009 Posts 1,022 Reaction score 412 Jun 9, 2014 #4 wazungu hao, sisi hatuna ugonjwa huo wa kishenzi.
leonardo da vinc JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 1,108 Reaction score 735 Jun 9, 2014 #5 Tiba yake ni kujitambua na kuelewa thamani ya utu na kuacha kuendeshwa na hisia pia tamaa za mwili katika kufanya maamuzi!
Tiba yake ni kujitambua na kuelewa thamani ya utu na kuacha kuendeshwa na hisia pia tamaa za mwili katika kufanya maamuzi!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jun 10, 2014 #6 Ha Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jun 10, 2014 #7 Masikini bibi wa watu,atadondokea mgongo hapo kwishneiii kabsaaaaa,sipati picha pua ilivyo banwa na huyo sista kuita hao waokoaji
Masikini bibi wa watu,atadondokea mgongo hapo kwishneiii kabsaaaaa,sipati picha pua ilivyo banwa na huyo sista kuita hao waokoaji
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jun 10, 2014 #8 Hahahahahaha nimecheka hadi nimepaliwa duh!
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Jun 10, 2014 #9 bibi muda wake ushapita.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jun 10, 2014 Thread starter #10 Trimmer said: ha haa haaaa kweli mkuu na ni ka ugonjwa sugu kweli maskini bibi wa watu..! Click to expand... Haka kaugonjwa hakatibiki mkuu, kapo kila sekta
Trimmer said: ha haa haaaa kweli mkuu na ni ka ugonjwa sugu kweli maskini bibi wa watu..! Click to expand... Haka kaugonjwa hakatibiki mkuu, kapo kila sekta
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Jun 10, 2014 #11 Walikua wanafanya nini