Huu ndio uanaume

Huu ndio uanaume

wazee wenzagu tuvumilie tu watoto zetu wapo likizo shule zimefungwa kwaiyo acheni waendelee jifunza kutumia JF Kama hivi
Hata wakitunyea mkononi hatuwezi kuukata mkono. Kwa kweli tuwavumilie tu
 
Nipo mufindi nina wiki 1.2 sijaoga,nasitegmei kuoga mpaka nikifika dar kwenye joto.
Nikioga naweza kupata stroke bure sio kwa baridi ili.
Ungekuwa Siberia si ungekaaa mwaka mzima bila kuoga...
 
WEWE SIO MWANAUME, ILA HUU NDIO UANAUME.

Eti mwanaume unaoga mara 5 kwa siku sasa sijui huyo dada yako yeye ataoga mara ngapi akiwa Period.

Mwanaume upo room kwako eti unasikiliza nyimbo za taarabu siku nzima, acha ujinga na usiende Mombasa.

Mwanaume mzima eti hauna ndevu na unafurahia tu; haki kabisa kama hauna ndevu wewe sio mwanaume ila wewe ni mvulana.

Mwanaume eti hadi umri huo hujawahi kusingiziwa hata mimba na hauna mtoto, Mi nakwambia we bado hujawa mwanaume.

Mwanaume unamiliki dem mmoja tu wakati unajua usaliti upo, haki kabisa utakuja ujute siku ukitoswa.

Eti mwanaume unakuta unamfukuzia dem miezi 6 na hujawahi kumleta geto japo hata kukutembelea tu, Kudadeq badilika coz huo sio uanaume.

Mwanaume unaenda chooni bila maji eti kisa maji yamekata wakati umezungukwa na vichaka hapo kwenu, plz tumia akili nenda vichakani.

Mwanaume unakula chips kila siku bila aibu kabisa; haya we endelea tu sisi tupo pale ambapo dem wako atatushobokea kisa haumridhishi tumpe dozi.

Mwanaume upo kwenu na una miaka 28 na huna hata wasiwasi, yaani wewe ni mgonjwa kabisa.

Mwanaume hujawahi kumtoa dem wako Out hata siku moja kisa ubahili, shauri yako sisi tupo tutamtoa out tu.

Mwanaume ukipigiwa simu na dem eti unalegeza sauti sijui ili iweje; Acha ujinga mwanaume ni sauti bana.

Mwanaume unapiga punyeto wakati Tanzania ina wasichana zaidi ya milioni 20. Hakika wewe ni mpumbavu hata ukinichukia.

_Jamani uanaume sio mchezo uanaume ni kazi._
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipenda unaweza Kusambaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini JF ndio Kumekua hivi!
 
Uzuri wa mwanaumeeee

Mwanaume sio pesa

Mwanaume sio sura

Mwanaume mashineeeee

Yaaani maamshineee
 
Back
Top Bottom