MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,315
- 7,137
Ni habari njema pia ni habari mbaya.
Ijulikane kwamba nchi za Ulaya ni vinchi vidogovidogo ila vilikuwa vinapata jeuri kwa sababu ya NATO kwa kuwa inaongozwa na Kiranja wao USA.
Sasa basi kwa kuchukuliwa Greenland kimabavu kutapelekea Marekani kuivamia Denmark kijeshi ambayo ndio mmiliki wa Greenland pia ni mwanachama wa NATO.
Nini mstakabali wa nchi za ulaya kwa kweli kwanza wamelazimishwa uadui na Russia ambaye ndiye alikuwa msaada mkubwa kwa kuwapa nishati ya ya gesi kwa gharama nafuu,watajikuta wanashindwa kujirudi kwa Putin kwa AIBU.
Ninachoweza kusema tu kwa sasa wataondoa vikwazo uchwara walivyomwekea Russia wataachana na kiherehere chao kuingilia mambo ya Ukraine,Ukraine imeharibika kwa sababu ya wao kumpa kiburi Zelensky.
Unajua kinachoendelea ni nini Trump aliwaambia waache kununua gesi ya urusi ili mahitaji ya gesi wanunue kwa Trump na Trump akafanya calculation atawezaje kuwapa gesi kwa gharama itakayokaribia na ile waliyokuwa wanalipa Urusi, akapata jibu ni lazima apte mafuta ya venezuela ili apate mafuta na LPG gesi aweze kuwauzia ulaya wasiojitambua,ndio maana hapa juzi alitamka atakae fanya biashana Iran atawekewa ushuru asilimia 25
Lengo ni yeye atawale soko la nishati ulaya lakini pia hataweza kufanikiwa endapo ataendelea na mipango yake ya kuichukua Greenland kwani hata Ulaya watasusa kununua gesi USA, Ulaya watabaki na aibu ya kumsikiliza USA ambaye anasifika ya kutokuwa na rafiki wa kudumu na adui wa kudumu mfano Osama walimfundisha wenyewe kulipua watu na baada ya hapo akawa adui namba 1 wa USA.
Na Pameanza kuchangamka ..
Chanzo cha picha,EPA
Waziri wa mambo ya nje wa Denmark amesema kuna "kutokubaliana" na Marekani kuhusu eneo la Greenland baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu ya White House.
Lars Lokke Rasmussen alisema mkutano na Makamu wa Rais JD Vance na Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio siku ya Jumatano ulikuwa "wa kuambiana ukweli na wenye tija". Lakini aliongeza kuwa Rais wa Marekani Trump alikuwa akisisitiza "kuchukua" eneo la Greenland jambo ambalo "halikubaliki kabisa".
"Tuliweka wazi kabisa kwamba hili sio miongoni mwa maslahi ya [Denmark]," alisema.
Baadaye Trump alisisitiza nia yake ya kuchukua kisiwa hicho chenye utajiri wa rasilimali, msimamo ambao umewasumbua vichwa hata washirika wake kote Ulaya na kuchochea mvutano na Nato.

UK joins France, Germany, Norway, Sweden sending military officers to Greenland at Denmark's request to join reconnaissance group, ahead of planned Arctic Endurance exercise
Na wengine wameamua kukaa kandoSpain does not rule out joining European military mission in Greenland: Defense minister
Na yule kiherehere naye huyu hapaFrance to deploy more troops, air, naval assets to Greenland: Macron
Europeans have 'particular responsibility' toward Greenland, French president says, adding autonomous territory is part of EU and belongs to NATO ally
Na wamebaki wameduwaaaSaa 9 zilizopitaDenmark yaonya juu ya 'kutokubaliana' na Marekani kuhusu eneo la Greenland