Huu ndio msosi wa bachela

Bachelor kula mgahawani! Hiyo nini unakula, ubwabwa ama wali boko!?
Utakufa siku si zako!!
Coco nakusalimia na ninakusalimia kwa sababu ya hilo jina 'Coco πŸ’•
 
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!

Karibuni tuleView attachment 1212957
Safi Bach πŸ˜…πŸ˜… hii 🌢 umeweka?
Mchuzi unavutia ila ungeweka carrot na hoho ndio ingekuwa bomba zaidi
 
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!

Karibuni tuleView attachment 1212957
Batchelor huyu hataoa kama anaweza kusafisha sufuria zikawa safi hivi na jiko ni spot less.

Hawa ndiyo wale ukiwapikia wali anakuambia umeinama ameshazoea kupika wali mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…