Huu ndio MSHAHARA wa NHIF

Huu ndio MSHAHARA wa NHIF

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Ukiwa na degree wanakulipa laki tano na sabini na nne bila makato, wakikata makato yoooote unabakiwa na shilingi laki nne na ishirini na mbili na mia tano.

Asanteni kwa kunisikiliza
 
574,000-((574,000-540,000)*0.25+60,000)=505,500(after PAYE but before nssf)....then 505,500-(574,00*0.1)=448,100 tsh (take home)
 
NSSF inakuwa deducted before tax is calcualted bosi!

574,000 -((574000-57400-360000)*0.2+24700)-57400 = 460,580

NOTE: Assuming kwamba hakuna makato mengine kama HSLB, vyama vya wafanyakazi na mkopo.
 
Yes kaka...agency nying za serikali kama ewurra,tanroads,tpdc pamoja na nhif starting salary ni 1.5
 
NSSF inakuwa deducted before tax is calcualted bosi!

574,000 -((574000-57400-360000)*0.2+24700)-57400 = 460,580

NOTE: Assuming kwamba hakuna makato mengine kama HSLB, vyama vya wafanyakazi na mkopo.

hapa sijaelewa kitu naona namba tu hata sijui zinasimama badala ya nin mfano hyo 24700
 
Ukiwa na degree wanakulipa laki tano na sabini na nne bila makato,
wakikata makato yoooote unabakiwa na shilingi laki nne na ishirini
na mbili na mia tano.Asanteni kwa kunisikiliza

ooooh,kumbe walim wanachukua kikubwa????
 
hapa sijaelewa kitu naona namba tu hata sijui zinasimama badala ya nin mfano hyo 24700

574,000 -((574000-57400-360000)*0.2+24700)-57400 = 460,580

574,000 = Gross salary

57,400 = NSSF (10% ya gross salary)

Formula ya income tax, hapa chini (Kuanzia July 2014 mpaka leo):-

SN
MONTHLY
TAXABLE INCOME
TAX RATE
1​
Where income does not exceed Tshs. 170,000/=NIL
2​
Where total income exceeds Tshs. 170,000/= but does not exceed Tshs. 360,000/=13% of the amount in
excess
of Tshs. 170,000/=
3​
Where total income exceeds Tshs. 360,000/= but does not exceed Tshs. 540,000/=Tshs. 24,700/= plus 20% of the amount in excess of Tshs 360,000/=
4​
Where total income exceeds Tshs. 540,000/= but does not exceed Tshs. 720,000/=Tshs. 60,700/= plus 25% of the amount in excess of Tshs 540,000/=
5​
Where total income exceeds Tshs. 720,000/=Tshs. 105,700/=plus 30% of the amount in excess of Tshs 720 ,000/=

Taxable/total income ni baada ya kutoa 10% ya NSSF/PPF/LAPF/PSPF

Ukiwa na degree wanakulipa laki tano na sabini na nne bila makato,
wakikata makato yoooote unabakiwa na shilingi laki nne na ishirini
na mbili na mia tano.Asanteni kwa kunisikiliza

Mifuko yote, nssf,nhif,ppf,pspf ngoma inaanzia 1.5, nimeshawahi kufanya kazi huko
 
NSSF inakuwa deducted before tax is calcualted bosi!

574,000 -((574000-57400-360000)*0.2+24700)-57400 = 460,580

NOTE: Assuming kwamba hakuna makato mengine kama HSLB, vyama vya wafanyakazi na mkopo.

Thanx mkuu nlikosea
 
jamani nimecheka!''eti, asanteni kwa kunisikiliza''.nikajiuliza aliulizwa huyu?mwe huku jamii kuna mambo.asante kwa ujumbe.
 
574,000 -((574000-57400-360000)*0.2+24700)-57400 = 460,580

574,000 = Gross salary

57,400 = NSSF (10% ya gross salary)

Formula ya income tax, hapa chini (Kuanzia July 2014 mpaka leo):-

SN
MONTHLY
TAXABLE INCOME
TAX RATE
1​
Where income does not exceed Tshs. 170,000/=NIL
2​
Where total income exceeds Tshs. 170,000/= but does not exceed Tshs. 360,000/=13% of the amount in
excess
of Tshs. 170,000/=
3​
Where total income exceeds Tshs. 360,000/= but does not exceed Tshs. 540,000/=Tshs. 24,700/= plus 20% of the amount in excess of Tshs 360,000/=
4​
Where total income exceeds Tshs. 540,000/= but does not exceed Tshs. 720,000/=Tshs. 60,700/= plus 25% of the amount in excess of Tshs 540,000/=
5​
Where total income exceeds Tshs. 720,000/=Tshs. 105,700/=plus 30% of the amount in excess of Tshs 720 ,000/=

Taxable/total income ni baada ya kutoa 10% ya NSSF/PPF/LAPF/PSPF

nimekusoma mkuu mpaka nimeandika pembeni
 
Back
Top Bottom