Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Naomba mjisomee wenyewe, mimi sina la ziada.
Pengine naweza kusema huyu Chifu ni mtu aliyeliona mbali sana. Je, inawezekana aliona kuwa waafrika tatizo letu kubwa ni uongozi hivyo hatuwezi kujitawala wenyewe na akaamua kujisamisha kwa wajerumani? Infact hata rais Samia angekuwa ameamua kusalimisha urais wake na kuwapa wageni angeeleweka kwa sababu ndiyo tatizo linalotufanya tuwe hapo tulipo. Ila kwa ujinga wake ametoa kipande cha nchi huku yeye akiendelea kubaki kwenye nafasi ambayo imemshindaMzee Magungo hana baya kabisa.
Elimu yake kisoda,alikuwa na utambuzi mdogo wa mambo mengi ya kidunia(exposure)
Lakini kuna mtu ana elimu ya kutosha,exposure ya kuridhisha lakini anasaini mikataba ya ovyo ambayo hata ukimwambia Chifu Magungo atie saini atakwambia Holly NO.
,🤣🤣Tena ana jopo la wasomi wabobezi kama wanasheria,wachumi,wataalamu wa mikataba ya kimataifa,wataalamu wa lugha nk, at her disposal,yet amesaini mkataba mbovu kuliko hata mangungo🏌️🏌️👀👀👁️Mzee Magungo hana baya kabisa.
Elimu yake kisoda,alikuwa na utambuzi mdogo wa mambo mengi ya kidunia(exposure)
Lakini kuna mtu ana elimu ya kutosha,exposure ya kuridhisha lakini anasaini mikataba ya ovyo ambayo hata ukimwambia Chifu Magungo atie saini atakwambia Holly NO.
Siwezi kumlaumu sana huyo sultani, kwani yawezekana akujua madhara ya mkataba huo kutokana mazingira na elimu waliyokuwa nayo.
Watakua wanasikia aibu wakisoma huu mkatabaMangungo hana watoto na wajukuu?