Hapo kuiona ile kitu ilipo,yaitaji ujuzi aisee...
sio ujuzi...tochi ya battery sita...na ukizubaa unamaliza kila kitu kwenye "ngazi" kabla hujafika hata mlangoni mwa "chumbani" najua umenisoma
hahahah atakuwa na mashine zake
okey okeynitamwambia
Hapo kuiona ile kitu ilipo,yaitaji ujuzi aisee...
salama za kwako?za siku lakini miss chagga
majukumu kidogo mkuufresh. ulipotelea wapi?