Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,945
- 31,889
Huu mpango wa 'tushirikishane' haubambi kabisaaa......
hakuna cha kuwasaidia wabunge watekeleze ahadi zao kwa urahisi,
nyie vipi? hayo si majukumu yao.........?
hatutaki,
JF tushirikiane na wabunge wapinzani,kuleta mabadiliko ya kweli mbeleni,
CCM must go!
Tuanze sasa kuformulate lipi tushirikiane na wapunge wa upinzani before 2020,
simply tuwajengee capacity ya kupigana kikweli,
watumiaji wa internet wapo wengi Tanzania,
wote wakiijua JF na tunalopigania,lazima kutakuwa na muwamsho,
eti wengine wanasubiri miaka mingine kumi,ndio tupate rais mwingine,
I don't want to sound as mchochezi,lakini kwa mwenendo huu wa serikali ya sasa,kweli mko tayari kuvumilia miaka mingine kumi? God grief!
sio kila siku kulia lia humu,miaka nenda rudi CCM that, CCM this we must take course of action,