Inabidi waje waeleze kwanza uhalali wake wa dubai-mkoa ndani ya UAE kuitwa ni IGA. Huwezi ingia mkataba na mkoa na nchi ukaitwa IGA.Mwarabu alidraft mkataba ukaletwa wanasheria wetu hawakuusoma zaidi ya kuweka sahihi
Yaaah. Hii kitu wengi wetu tunashangaa.Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Kama katiba yao inaruhusu individual Sheikhdom kuingia mikataba ya kimataifa je?
Sasa tufanye nini mkuu?Nchi ya hovyoooo na huyo bibi yenu ndo hamna kitu
Lord denning Faizafoxy covax washasema huo sio mkataba!!Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Hivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
Jamaa wanaona aibu sababu hawakusoma chochote zaidi ya majina na tareheInabidi waje waeleze kwanza uhalali wake wa dubai-mkoa ndani ya UAE kuitwa ni IGA. Huwezi ingia mkataba na mkoa na nchi ukaitwa IGA.
Yaani ni mambo ya kijinga kabisaHivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.
Sasa tunawezaje kuingia mgogoro wa kidiplomasia na jimbo la UAE? Na jimbo lenyewe hatuna mahusiano ya kidiplomasia nalo? Na haiwezekani kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na mkoa ndani ya UAE.
Mwenye territory ni UAE. Hivi UAE ikisema huingii Dubai, utaingia?
Eti Sheikhdom!...Kama katiba yao inaruhusu individual Sheikhdom kuingia mikataba ya kimataifa je?
Asante sanaKuna kila dalili kuwaomba wenzetu kutoka +254 kutusaidia kumuelewesha Rostam, Fred Lowasa, Saa100, Mwanasheria mkuu wa serikali , Mbarawa.na wale Jamaa zetu kule Dodoma kuhusu makaratasi ya DP World.
+254 wabatuchrka na kutushangaa
Watupe majibu makini badala ya majibu ya propaganda.Hivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.
Sasa tunawezaje kuingia mgogoro wa kidiplomasia na jimbo la UAE? Na jimbo lenyewe hatuna mahusiano ya kidiplomasia nalo? Na haiwezekani kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na mkoa ndani ya UAE.
Mwenye territory ni UAE. Hivi UAE ikisema huingii Dubai, utaingia?
Je, Dubai inamiliki passport inayotambulika na duniani?