Huu hujumbe nimeupenda

Haina haja ya kuchachawa sana, cha msingi ni unaandika nini, wingi wa makaratasi sio tija. Anaweza kuandika karatasi nyingi ila pumba tupu!!!
 
Haina haja ya kuchachawa sana, cha msingi ni unaandika nini, wingi wa makaratasi sio tija. Anaweza kuandika karatasi nyingi ila pumba tupu!!!
Cjui mi ndo sijaelewa ila hamna ngoja nicheki tena
 
wasikutishe hao, kwanza msahishaji hana muda wa kusoma maelezo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…