Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,792
Hii kama hela ya serikari kima cha kati miaka ya 2000Tshs 1840.20/day kwa SKU 5 nilikuwa naambulia tshs 9200/=
Milion 800 nikadhulumiwa zote.. hela za deal ya petrol..
Deal ya pili nilifoji doc nikapewa tender ya ujenzi wa daraja kama injinia kumbe nimeishia form 4 na ziro nzuri tu.. Nikapewa hela na gari na dereva wa kuniendesha nikapiga zangu Mil 50..
150,000 nilikua napiga tempo shule ya kata 2014 nilipomaliza form six.HUSTLE yako ya Kwanza ulilipwa Pesa ngapi?? taja tuone vile wengi tumetoka mbali!
He[emoji15][emoji15][emoji15].Milion 800 nikadhulumiwa zote.. hela za deal ya petrol..
Deal ya pili nilifoji doc nikapewa tender ya ujenzi wa daraja kama injinia kumbe nimeishia form 4 na ziro nzuri tu.. Nikapewa hela na gari na dereva wa kuniendesha nikapiga zangu Mil 50..
Mbona unacheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]