Hamis Kigwangala anamuogopa sana Bashe..Kigwangala alizawadiwa ubunge kwa kujipendekeza kwa rizwani,,Sasa hivi hakuna wa kumbeba ubunge atausikia redioni tu.. Wana nzega wanamtaka Bashe
Hivi kweli Bashe amedhamiria kuwawakilisha wananchi bungeni au anakwenda kulinda maslahi yake binafsi?!
Wee nawe punguza umburula! Nani kakwambia Bashe na Kigwagala wanagombea jimbo moja?!
Hivi kweli Bashe amedhamiria kuwawakilisha wananchi bungeni au anakwenda kulinda maslahi yake binafsi?!
Ikiwa mtu anaamini siasa za kujikomba,maslahi binafsi mbele,na kuhongo ili kununua uongozi ni dhahiri Bwana Bashe ni mtu wmenye sifa hizo.
Tangu mwanzo wa harakati zake za kuyatafuta madaraka hajawahi kuacha hira na mbinu zote za hovyo ili aweze kukidhi matakwa yake.Mnamo 2010, alishiriki kuwania jimbo la Nzega na Bwana Lukas Seleri na kufanikiwa kuhonga wajumbe wote katika mchakato wa kura za maoni, na kwa msaada mkubwa wa Godfather akafanikiwa kumshinda kwa rushwa Seleri bahati nzuri Mwenyekiti wa chama alitumia turufu yake vizuri.
Sasa anajipambanua kwamba atawasaidia wananzega kuonda kero zao, ikiwa yeye ndio mtendaji mkuu wa Habari Corporation ya Rostam Aziz. Wafanyakazi wengi wanayo malalamiko mengi dhidi yake,wanadhulumiwa haki zao nyingi sana ikiwemo na mafao yao ya NSSF kutopelekwa kunako husika pamoja na kuonekana kukatwa kila mwezi.
Mikataba ya wafanyakazi limekuwa jambo sugu, wafanyakazi wengi hawana mikataba ya kazi wanaishi kama vibarua, wanaodai haki zao huishia kufukuzwa ama kutishiwa kufukuzwa.
Yeye muda mwingi anashughulika na harakati zake za kifisadi kule Morogoro ambapo makato yetu ya mifuko ya hifadhi anapeleka kuwekeza kule Morogoro anakomiliki mashamba ya mifugo na kilimo.
Asipokatwa mapema anaweza kushinda kwa nguvu ya pesa za akina Rostam na akiingia bungeni ataendeleza uhasi alioisha uanza siku nyingi na atageuka mpinzani ndani ya chama.
Akatwe!

Siku zote nilikua najua ID hii ni ya yule Mwanahabari 'Tall' aliekua Team Mamvi kama PR wake..muongo sijui li nani..kumbe ni ww mwenyewe unaezungumziwa kwenye Uzi huu..Kila la Heri!
Je Bashe anagombea jimbo moja na Kigwala au wanagombea majimbo tofauti.
Makundi yamekwisha ndani ya ccm, yalikuwa 43 sasa limebaki kundi moja tu, mwacheni Bashe aongoze wana Nzega.