Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
Mh! haya. na anaandaliwa kuja kuwa President.Anatoka saa 9:30 jioni, anapitiabkumsabahi baba yake, then tunajirusha naye vijiwe
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.
Mawaziri wote hakuna anayeripoti ofisini saa 1.30 asubuhi labda kuwe na shughuli maalumu. Lakini pia wengi wanatoka ofisini usiku! Kwahiyo wanafidia muda wa asubuhi wanaochelewa.
kwa hiyo ratiba yake ya siku unayo!!Saa 9:30 jioni, anapitia kwenda kumsabahi baba yake, then tunakuwa naye mitaa
Swali,sheria inawataka kuripoti kazini saa ngapi?
Kuna hata wakurugenzi wa mashirika ambao wanaingia kazini saa moja na nusu asubuhi na kutoka usiku.
Mimi mwenyewe ni shahidi wa hili.
kufanya kazi si lazma uwe ofisini tuko digitali wewe. Acha umbea.
kwa taarifa hiyo inabidi huwe unarudi nyumbani kwako mapemaNimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii? Au kwa sababu wewe niWaziri basi hubanwi na kanuni za kazi zinazokutaka kufika ofisini saa1:30 asubuhi? Mtu yeyote akitaka kuhakikisha, pita njia ya Kawe chini saa nne asubuhi au saa tano hivi, utathibitisha. Anakera kwa kweli. Ajirekebishe maana anatuibia sisi walipa kodi.