Tour De France
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 345
- 336
Hii habari ni ya uzushi mbona hussen machozi leo yuko eldoret kwenye mseto tour na hana jeraha lolote.
Jeraha limefichwa na chuupi utalionaje ndugu!
Hii habari ni ya uzushi mbona hussen machozi leo yuko eldoret kwenye mseto tour na hana jeraha lolote.
Nimefurahi sana kusikia hivyo sio kama hawa vijana wengine wanaovaa pedo,hatujawahi hata kusikia wamegonga zaidi ya kugongwa.