Hussein Bashe: Wabunge wa CCM acheni kupinga kila jambo!

Hussein Bashe: Wabunge wa CCM acheni kupinga kila jambo!

nguvumali

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2009
Posts
4,927
Reaction score
1,342
70522_100001601868505_7816183_n.jpg

Ombi Langu kwa wabunge wa chama changu, si kila jambo kulipinga swala la Posho (sitting allowance) hakuna sababu ya kulivalia njuga na kulazimisha kulipata,wabunge wanapata Mshahara,posho ya kuwa nje ya kituo ,posho ya ubunge FEDHA HIZI zinawatosha ukiangalia hotuba ya zito tunasema pato la mtanzania ni 770,000 lakini kuna asilimia 20% ambao wanashikilia 42% ya pato la taifa (32trillion) kati ya hizo wakati 20% ya masikini wa chini kabisa wanashikilia only 7% ya pato la Taifa.

Kwa mtazamo wangu ikiwa sitting allowance ambayo kwa ujumla wake ikipunguzwa tuta save 900bn fedha hizi zikiamuliwa kupelekwa katika sekta ya ELIMU kuondoa kero ya waalimu kuishi madarasani kwa kuwajengea nyumba, kwa majirani,ama kuondoa kero ya Mabweni ktk shule za kata,ama kuondoa kero ya MAABARA katika shule za kata,ama kupelekwa katika sekta ya Afya , tutakuwa kama Taifa tutamaliza tatizo kubwa sana tutaipunguzia serekali na walipa kodi mzigo wa fedha ambazo haziendi katika shughuli za maendeleo,Niwaombe wasiitazame hoja imetoka kwa nani wa chama gani waipokee na kuiunga mkono Mtakuwa mmeitendea HAKI nchi yetu,na watanzania ambao mustakabali wa maisha yao katika miaka mitano ijayo upo mikononi mwa serekali ya CCM (cham chetu) hata kama kama mnaipata kwa mujibu wa sheria na kanuni fanyeni cost benefit analysis kwa kuliangalia taifa na si nyinyi peke yenu.kama taifa tutfaidika zaidi fedh hizi msipopokea na kuamua kama bunge zipelekwe katika shughuli za maendeleo.

Wapo wabunge ambao wana jenga Hoja ya kwamba Posho hizo zinawasaidia ktk shughuli za Majimbo, inawezekana inaukweli,lakini kama MFUKO WA MAENDELEO WA JIMBO ,POSHO YA UBUNGE 5M,ALLOWANCE YA KUKAA NJE YA JIMBO 80,000,MSHAHARA 2M vyote hivi vimeshindwa kukusaidia kuhudumia Jimbo basi hata hiyo Posho haita weza,naamini mnatuongoza tutawaona si wabinafsi mkiunga mkono hili kwani mnachpata kwa maisha yenu kinawatosha.

Itendeeni haki Nchii hii katika kipindi hiki ambachi ambacho maisha yanazidi kuwa magumu shilingi inashuka, kuna vijana wenzetu million 11 wanahitaji msaada waliopo mashuleni na vyuoni wanahitaji msaada wenu mtakuwa mmetenda haki sana kwa kusamehe hicho kidogo,nimuombe Mbunge wangu aunge Mkono kusamehe hiyo Posho 70,000 ni Tofali 350 za kuchoma kwa bei ya kule kwetu ,mara siku za vikao ,ni fedha nyingi tutapata mabweni, maabara,ama fedha hiyo utakuwa umesaidia vijana wengi kulipiwa ada ktk shule za Kata. Kwahiyo ni vizuri likaungwa mkono jambo hili ili kuisaida Nchi

Mkuu uko sahihi. Hapa kinachotakiwa na masuala yenye maslahi kwa umma, siyo mtu mmoja mmoja.
 
nakubaliana na dogo huyo kwa 100% kuwa sio hekima kwa wabunge wa ccm kupinga kila jambo, eti kwakua limeletwa na upinzani, ni ujinga na upuuzi , ni kielelezo kuwa ccm imejaa wabunge rojo wasio jiweza kichwani, waliolewa madaraka na utamu wa hizo posho.
otherwise Dogo anapaswa kujitenga na mafisadi kwakua anadalili za kijana mkweli , tatizo ni hao waliomuajili, wanamuambukiza ufisadi, hataaminika, na haaminiki.
 
Bashe unajichelewesha Vua gamba haraka haraka nenda hata CUF 2015
 
Heko magamba kwa ku-Copy and paste sijui lini mtaanzisha hoja yenye manufaa.
 
Mimi najua bashe si raia wa nchi hii! Ccm walisema but nakuunga mkono sana kwa hili!
 
Bashe, asante sana kwa kusema ukweli wenye hekima kwa faida ya Tanzania na watanzania kwa jumla. Nimefurahi kuona umeweka U-Taifa mbele. Tunatakiwa kuwa hivyo na bila shaka tutafika mbali.
 
Bashe,
This is a fantastic milestone
Push it up, push it up!
Lakin Wenzako wanatambua hili
Think, Take Action
 
Hoja yake inamashiko kwakweli, sitilii shaka asemacho , ingawa sijawahi kuwa shabiki wake !
CCM , mnatia aibu , kwanini hamtumii ubongo kufikiri, CCM imeishiwa watu wenye uwezo wa kujenga hoja mwanana , ambazo zitabebwa na umma, ccm imechuja, asubuhi nimemsikia Lukuvi akimwaga pumba, hahahaaaah nikajisemea , upeo wake mdogo , unatokana na uduni wake wa akili uliosababishwa na elimu Haba.
 
Siamini kama unaongea haya ukiwa huko kwenye magamba. Fanya uamuzi mgumu wa kuachana na RA, nenda kwa wapiganaji
, huko uliko hawatakusikia. Sio siri umeongea point Bashe.
 
hongera Bashe...

tunataka wanasiasa wa namna hii... wanaojua wakati wa sasa una mahitaji gani..

waelimishe na wenzio huko kwenye magamba
 
Kwani kufanya kazi vizuri n lazima uwempinzani?
Mambo mazuri yanaanzia popote ulipo bila kujali cheo iwapo unania yakweli Bashe abaki hapo hapo no need kuwa kahaba wa vyama vya siasa.
 
Inapendeza kwa masikio na mtizamo. Je, wataelewa, maana wengine kwao chama kinatangulia hata uwezo wao binafsi wa kufikiri. Tusubiri, tuone nini kitatokea.
 
If at all this has been said by Bashe, it is a clear difference btn BASHE and NAPE. Hongera Bashe kusapoti hoja japokuwa inatoka katika upande ambao huushabikii kisiasa.
 
Ukitaka kujua nani ni mbunge/ waziri/mkuu wa mkoa/wilaya n.k. wa ki-ukweli na nani siye wewe kongoloa posho zote na uwape mishahara tu kulingana na kiwango cha ilimu yao, hapo watabaki akina Mwl. J K Nyerere tu, labda, na wale waliopo kwa ajili ya maslahi ya biashara zao. Waliowengi wapo kwa posho tu na wachache sana kwa maslahi ya nchi na wananchi!
 
70522_100001601868505_7816183_n.jpg

Ombi Langu kwa wabunge wa chama changu, si kila jambo kulipinga swala la Posho (sitting allowance) hakuna sababu ya kulivalia njuga na kulazimisha kulipata,wabunge wanapata Mshahara,posho ya kuwa nje ya kituo ,posho ya ubunge FEDHA HIZI zinawatosha ukiangalia hotuba ya zito tunasema pato la mtanzania ni 770,000 lakini kuna asilimia 20% ambao wanashikilia 42% ya pato la taifa (32trillion) kati ya hizo wakati 20% ya masikini wa chini kabisa wanashikilia only 7% ya pato la Taifa.

Kwa mtazamo wangu ikiwa sitting allowance ambayo kwa ujumla wake ikipunguzwa tuta save 900bn fedha hizi zikiamuliwa kupelekwa katika sekta ya ELIMU kuondoa kero ya waalimu kuishi madarasani kwa kuwajengea nyumba, kwa majirani,ama kuondoa kero ya Mabweni ktk shule za kata,ama kuondoa kero ya MAABARA katika shule za kata,ama kupelekwa katika sekta ya Afya , tutakuwa kama Taifa tutamaliza tatizo kubwa sana tutaipunguzia serekali na walipa kodi mzigo wa fedha ambazo haziendi katika shughuli za maendeleo,Niwaombe wasiitazame hoja imetoka kwa nani wa chama gani waipokee na kuiunga mkono Mtakuwa mmeitendea HAKI nchi yetu,na watanzania ambao mustakabali wa maisha yao katika miaka mitano ijayo upo mikononi mwa serekali ya CCM (cham chetu) hata kama kama mnaipata kwa mujibu wa sheria na kanuni fanyeni cost benefit analysis kwa kuliangalia taifa na si nyinyi peke yenu.kama taifa tutfaidika zaidi fedh hizi msipopokea na kuamua kama bunge zipelekwe katika shughuli za maendeleo.

Wapo wabunge ambao wana jenga Hoja ya kwamba Posho hizo zinawasaidia ktk shughuli za Majimbo, inawezekana inaukweli,lakini kama MFUKO WA MAENDELEO WA JIMBO ,POSHO YA UBUNGE 5M,ALLOWANCE YA KUKAA NJE YA JIMBO 80,000,MSHAHARA 2M vyote hivi vimeshindwa kukusaidia kuhudumia Jimbo basi hata hiyo Posho haita weza,naamini mnatuongoza tutawaona si wabinafsi mkiunga mkono hili kwani mnachpata kwa maisha yenu kinawatosha.

Itendeeni haki Nchii hii katika kipindi hiki ambachi ambacho maisha yanazidi kuwa magumu shilingi inashuka, kuna vijana wenzetu million 11 wanahitaji msaada waliopo mashuleni na vyuoni wanahitaji msaada wenu mtakuwa mmetenda haki sana kwa kusamehe hicho kidogo,nimuombe Mbunge wangu aunge Mkono kusamehe hiyo Posho 70,000 ni Tofali 350 za kuchoma kwa bei ya kule kwetu ,mara siku za vikao ,ni fedha nyingi tutapata mabweni, maabara,ama fedha hiyo utakuwa umesaidia vijana wengi kulipiwa ada ktk shule za Kata. Kwahiyo ni vizuri likaungwa mkono jambo hili ili kuisaida Nchi

It all walking the talk! Bashe anajua anachoongea.....actually nisema anaonyesha leadership quality ...... kwa sababu unaowaongoza kama wanaona huko unakowapeleka siko na wewe kama kiongozi unangangana kuwapeleka basi kiu-uongozi hapo ni ziro. Ni nadra sana kwa viongozi sorry watawala wa magamba kudare kusema ukweli for reasons best known to themselves.

Now I know kwa nini huyu bwana alipata kura nyingi sana za maoni ktk mchakato wa kutafuta wabunge wa CCM... simply put ni kwamba he is realisitic na ambaye anaweza kuwa identified na wanyonge. Kutetea sitting allowance by any standard lazima utakuwa na matatizo makubwa sana upstairs...ikiwa pamoja na kukosa uhuru wa kufikiria independently....na ku-cordinate mambo. Swala hili la osho za kipuuzi wakati serikali inakopal bank ni kitu ambacho kama tungekuwa na PM serious na pricipled (firm) angeshakuwa amekifanyia kazi siku nyigi tu.
 
Back
Top Bottom