Atatoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kama itakavyoonekana kwenye 1st post kwenye hii topic. Nitawa-update juu ya kinachoendelea kwenye kikao hicho.
============
UPDATES:
Kikao ndo kinaanza
Hivi ameshapewa URAIA?
Kama huna habari kamili kwa nini unaanzisha thread mkuu...ungesubiri hadi uwe na hiyo habari..
hii ndiyo JF. sisi hatuna kusubiri vikao vya chama.
....ushaaambiwa hii ni LIVE thread, tulia upewe vitu kutoka jikoni, same time same place as they happen.Kama huna habari kamili kwa nini unaanzisha thread mkuu...ungesubiri hadi uwe na hiyo habari..
Natumaini atatoa ufafanuzi juu ya suala la uraia wake (hajawahi kuongelea hili)
Natumaini atatoa ufafanuzi juu ya suala la uraia wake (hajawahi kuongelea hili)
Tumeamua kufanya reform kipindi hiki ambacho bado UVCCM ina ushawishi ndani ya jamii na bado CCM ipo madarakani nchi bado ina amani na utulivu.
Mkuu,nimeipenda sana statement hiyo. anakiri kuwa ushawishi huo untoweka hahaha!
mimi ni mwanajamii. sijawahi kushawishika na taasisi yoyote ya CCM tangu ning'amue kuwa CCM ni genge la nguruwe wanaotafuna shamba letu (rasilimali za nchi yetu).
Kama huna habari kamili kwa nini unaanzisha thread mkuu...ungesubiri hadi uwe na hiyo habari..
Mkuu nadhani ungeangalia content na si HEADING.