Hussein Bashe anatoa wapi jeuri aliyonayo?

Aliyekuwa meneja wa kampuni ya ROSTAM AZIZ na kampeni meneja wa LOWASA alafu leo anajifanya ana uchungu na taifa hili, kweli maisha bila unafiki hayaendi. Kasahau kwamba na yy takribani miaka kumi alikuwa kama dodoki lakuwasafisha ROSTAM na LOWASA.
 
madai ya kitoto kabisa,kambi lazima ktk siasa,ndio maana kambi zilivunjwa na hakumfwata manvi.
 
Aah wahengaaaa,mnapenda kuwapakazia watu

Sent from my D2403 using JamiiForums mobile app
 
Katika maisha hususani katika saikolojia na afya ya akili iko hivi..
Biandamu huwaza kwa usahihi zaidi kama kichwa chake hakina mikingamo mingi ya mahitaji yale ya muhimu.. Mtafakari mpaka hapo then nitaendelea

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Bashe mwaka 2010 MWENYEKIT Benjamin William Mkapa chama cha Mapinduzi kilimkata katika mbio za ubunge wa jimbo la Nzega mjini na kuambiwa kuwa Baba yake Mohammed Ibrahim Bashe hakuwa mtanzania hatua iliomuibua Khamis Kigwangala ambae kabla alikuwa mtumishi katika taasisi ya WAMA huku Mr SELELII akienguliwa baada ya kuhoji mirabaha ya Migodi ya Madini ya dhahabu nchini na dhuruma dhidi ya mikataba mibovu ya uchimbaji dhahabu.
Chini ya mwenyekiti Mkapa selilii aliutema ubunge kwa kuitwa msaliti wa chama...
Tungoje ya Bashe na idara ya uhamiaji.
 

Duh 2010 mwenyekiti alikua JK usichanganye mafile
 
Bashe anatumika tena anatumika Vibaya, ikitokea la kutokea sidhani wanaweza kumtetea! Jenerali Ulimwengu alifukuzwa na akasamehewa akarudi! Watch out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…