zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,237
- 39,807
Sawa anampinga je anatumia hoja gani kumpinga?? Zina mashiko ama hazina??? Shida yenu hamtaki kukosolewa mbona kwenye makinikia alimpongeza magufuli na akasema ni mzalendo au wwe ulitaka awe kma polepole kusifia kila kitu tu??Huyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Hiyo rangi si alama?Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Sawa anampinga je anatumia hoja gani kumpinga?? Zina mashiko ama hazina??? Shida yenu hamtaki kukosolewa mbona kwenye makinikia alimpongeza magufuli na akasema ni mzalendo au wwe ulitaka awe kma polepole kusifia kila kitu tu??
Hahah wewe umenfurahisha sana.... Hivi bashe Peke ake ndie aliekua anamuunga mkono mbna wapo wengi tu nawapo bungeni bt wamekua ni wazee wakupiga debe tu nakusema ndio.... Hivi huwa unafwatilia hotuba na michango yke bungeni,.. Ushawai ona wapi anaongea pumba, anachoongea bungeni bashe kina kua na maslahi ya nchi, shida mkiona mbunge anaikosoa serikali eti amkubali magufuli... Is magufuli the first president in Tz and will he be the last,... For God sake yule nimbunge is not working for magufuliHuyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Kuna msukuma na silinde.Huwa siwaelewi wanaongeaga nini bungeniCcm mbunge ni bashe tu. hawa wengine ni wapiga debe.
bashe ni mjenzi wa makundi ya kulinda maslahi ya mabwanyenye. ccm sio mahali pake kwani ccm inajibainisha kama chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. ndio maana kila wakati bashe anahangaika kua na watu wake. hoja za bashe kila mara zinakera wanaccm.Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Unauliza mauaji ya watu kibiti?!Kwa hiyo Bashe siyo ,Mtanzania bali ni msomali?
kabadilika baada ya lowassa kukosa urais
Yamejengwa kwa gharama zakeMwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Umesahau CHAGUA MAGUFULIMwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
Amekuwa mkweli mpk unaweza shindwa kumwelewa ukiwa na akili za LumumbaCcm mbunge ni bashe tu. hawa wengine ni wapiga debe.
Tena ulitakiwa ushukuru kwakua na mbunge kama Bashe,,ni mtu ambaye hayumbishwi tena ana msimamo,,nadhani ni yeye tu pale kijani ndie mwenye akili,,wengine wote maliangiriMwenye jibu atupie hapa tafadhali.
View attachment 533308
Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...
rudia kusoma utaelewa tuSijakuelewa mkuu.
Kumbe anampinga jamaa!kama hauko huru kimawazo ni vigumu sana kumuelewa Bashe.Huyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.
Sawa mama janeth naona data unazo kbsaHuyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.