Hussein Bashe anatoa wapi jeuri aliyonayo?

Maneno kuntu
 
Umempigia majungu huko nje sasa umeamua kuyaleta humu. Kwa taarifa Hussein Bashe ndiye mbunge wa CCM pekee mwenye hoja za kusisimua na akiendelea hivyo 2020 ategemee kiikwaa uwaziri.

Uwaziri??? You should not only read along the lines of someones' presentation but most importantly plz read between the lines. Hussein Bashe bado ana uchungu na mapesa yaliyopotea bure kuwahonga wana CCM ili yule jamaa apete kwenye uteuzi wa ugombeaji wa urais. Mungu kamwe asingeruhusu na akafanya muugiza mkubwa jamaa akakatwa. Kama ambavyo yule jamaa hawezi kuwa Rais, hata Bashe hawezi kuwa waziri katika serikali makini inayosoma between the lines.
 

Ukiambiwa utoe ushahidi wa unachokiongea utaweza? Au kuropoka ndio kipaji chako?
 
Mwenye jibu atupie hapa tafadhali.

View attachment 533308

Matawi yote aliyoyazindua yeye hayana alama yoyote ya CCM bali ni TEAM BASHE...

Hayana ' alama ' za CCM kwani ' logically ' tu hizo rangi hapo zinaashiria / zina akisi Chama gani? Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu Watu wengine aliwapa akili za ' Kutukuka ' lakini wengine kama Wewe akawanyimeni kabisa?
 
Hayana ' alama ' za CCM kwani ' logically ' tu hizo rangi hapo zinaashiria / zina akisi Chama gani? Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu Watu wengine aliwapa akili za ' Kutukuka ' lakini wengine kama Wewe akawanyimeni kabisa?
Yanga🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…