Ccm mbunge ni bashe tu hawa wengine ni wapiga debe.

Anajua hata akitoka CCM akaenda chama kingine cha siasa bado ataendelea kuwa mbunge kutokana na heshima aliyojijengea
Ccm mbunge ni bashe tu hawa wengine ni wapiga debe.
Kama miraa ndio ujasir bas wakenya wangekuwa balaa maana wao ndio wanaolima na kutumia sana miraaWasomali ni watu jasiri acha kabisa, nafikiri ni kwasababu ya kula sana miraa!
bashe sio jeuri, ni kiongozi na muwakilishi mzuri wa wananchi, anazungumza kwa data, anatumia proffesional na hekima kujudge mambo, i wish i could be bashe
Umempigia majungu huko nje sasa umeamua kuyaleta humu. Kwa taarifa Hussein Bashe ndiye mbunge wa CCM pekee mwenye hoja za kusisimua na akiendelea hivyo 2020 ategemee kiikwaa uwaziri.Huyu Bashe bado haamini kwamba yale mapesa yote aliyokuwa anasafirisha kuwapa wanachama wa CCM sehemu mbalimbali TZ kuhakikisha jamaa anateuliwa na CCM kuwa mgombea wa Urais kwamba eti hayakufanikisha. Inauma sana haswa inapotokea kuwa aliyeteuliwa na CCM hakutumia pesa yoyote!!!! Hata siku moja Bashe hawezi kukubaliana na yule ambaye hakutumia pesa lakini akambwaga yule jamaa aliyekuwa anajaza gari mapesa na kulindwa na wana usalama wa taifa na TAKUKURU ambao nao walipewa mgao. Hata hivyo inauma kweli hata ingekuwa mimi ningeumia na ningempinga huyu jamaa kwa nguvu zote.