Observer2010
Senior Member
- Oct 29, 2010
- 195
- 44
Kweli kaka. Sijui kazamia nchi gani bwana
Khalid Abeid? hakuna midfielder Tanzania mpaka leo aliyekuwa akiucheza mpira kwa raha na utaalam kama huyu.
Ni artist.
Yah, hakika bongo vipaji vilikuwepo sema hakukuwa na support kubwa ya makampuni km miaka ya karibuni. Mmetaja majina kadhaa ila mmemsahau Hamis Thobias Gaga aka Gagarinho (RIP) huyu alikuwa mashine nyingine ya hatari sana pale kwenye kiungo ya kushambulia. Hope ni mmoja wa vipaji bora kabisa katika nchi yetu.
Mwaikimba je?Nimekuwa mfuatiliaji wa soka la kibongo na kimataifa kwa miaka ya kutosha, kuna wachezaji wengi sana wenye uwezo wa juu mno nimeshawaona, ila leo hii nimemkumbuka huyu holding midfielder, binafsi namuona ndiye bora zaidi kuwahi kumuona katika soka la kibongo, Hussein Aman Marsha. Natazama soka katika ligi bora zaidi duniani kwa sasa ila bado naamini huyu jamaa aliwazidi viwango wachezaji wengi mno katika hizo ligi.
Hivi ilishindikanaje watu kama hawa kucheza soka ligi bora kabisa na katika timu bora kabisa duniani ?
Nimekuwa mfuatiliaji wa soka la kibongo na kimataifa kwa miaka ya kutosha, kuna wachezaji wengi sana wenye uwezo wa juu mno nimeshawaona, ila leo hii nimemkumbuka huyu holding midfielder, binafsi namuona ndiye bora zaidi kuwahi kumuona katika soka la kibongo, Hussein Aman Marsha. Natazama soka katika ligi bora zaidi duniani kwa sasa ila bado naamini huyu jamaa aliwazidi viwango wachezaji wengi mno katika hizo ligi.
Hivi ilishindikanaje watu kama hawa kucheza soka ligi bora kabisa na katika timu bora kabisa duniani ?
Mkuu Aluu Ally?
Unamkumbuka? hii ilikuwa mashine nyingine bana