Love you baby... Mwaaaaaaaaahhhhh!!
Yaani wewe na husninyo mmekuwa daladala? Au mpira wa kona?
Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....
Judgement kajivutia kitu kiulaiiini....!
Wee katoto na zile pesa za watu tulizo kula?
Teh tatizo kwenye mtoko ndo shughuli kuandamana....Yan utadhani Husny yuko na katoto kake....Haijalishi
usiku watu wote hulingana
hakuna anayeomba kigoda wala nini
Chereko chereko chereko!hongera sisy wangu kwa kuopoa kipusa lol!
Yaani wewe na husninyo mmekuwa daladala? Au mpira wa kona?
Yan kiulaini sana....duhJudgement kajivutia kitu kiulaiiini....!
Chereko chereko chereko!hongera sisy wangu kwa kuopoa kipusa lol!
Wee katoto na zile pesa za watu tulizo kula?
Hahahaaaa nawewe umejikunja hadi kiuno lol una masifaukishikwa shikamana ukibebwa mgongoni kunja miguu.
Source; kongosho.
Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....
Judgement kajivutia kitu kiulaiiini....!
Teh tatizo kwenye mtoko ndo shughuli kuandamana....Yan utadhani Husny yuko na katoto kake....
Hehheeeeiyaaaaa
MSUKUMA ni kila kitu...
Kwa hakika nimerudi kwenye Uzi , kwanza nitamke neno maalum la shukrani :
"A S A N T E HUSNY "
" A S A N T E MEMBERS WOTE MLIONIUNGA MKONO"
Haikua rahisi kwangu kujilipua kwa Mrembo huyu, hivihivi.
Na sikutegemea kama ninge' Qualify kwa marks za juu.
Hivi muda mchache ujao nataraji kuitisha kikao cha dharura na wadau wenza, kujadili mipango rasmi ya harusi.
Kwa kikao hicho tu cha dharura nimeshakitengea Ng'ombe wawili , na Vinywaji.
Na angalizo kwa wale wote waliokua wakimtolea mimacho kipusa huyu, ndiyo wamekula huu !
Wajipange kivingine , Husny ndiyo huyoo keshapata mwenza.
Nitarudi tena hapa baadae , lakini kabla sijatoka , niseme hivi , kesho naenda kwa Sonara kuwekesha oder ya Mkufu maalumu kwa ajili yako, Husninyo hebu tamka pale kwenye kidani nimwambie Sonara akuwekee herufu gani ? initial aweke "H" au " J " ?
Sema Babby
Sema Swittiy
Sema wasikie !
Hivi hujui mumewe wa zamani(UPOROTO) hajatoa tamko rasmi la kuachana na Husny so angalia asijeleta Pingamizi wakati wa ndoa yenu....we fanya maandalizi tu then ile kwako...huu bado mke wa mtu ujue...shauri yakoHaikua rahisi kwangu kujilipua kwa Mrembo huyu, hivihivi.
Na sikutegemea kama ninge' Qualify kwa marks za juu.
Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....