Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
bagah anajikula kidogo kidogo
huyu mtei kachora picha ya chips kuku
kaning'iniza ukutani
naona yeye inamfaa.
Teh usikute na Nitonye kidumu
Sweetylady alinificha ndani sikuweza kutoka. Kitu gani kilimsibu Uporoto mpaka ikawa hivi au Husninyo sio mwaminifu?
Machale yameanza kunicheza ninawasiwasi na Konnie
Powa mkubwa vipi Amyner hajambo?
Machale yameanza kunicheza ninawasiwasi na Konnie
Sweetylady alinificha ndani sikuweza kutoka. Kitu gani kilimsibu Uporoto mpaka ikawa hivi au Husninyo sio mwaminifu?
Machale yameanza kunicheza ninawasiwasi na Konnie
Hahahaaaaa hata mimi nahisi huyo ndo adui...lol
Kweli Kongosho anakugeuka???
Halafu machale yake yanakuhofia weweee lolMachale yako yancheza sindimba
yangu hip hop
yatakutana wapi??
Unaweza ukawa komandoo....si unajua wanaweza kila kituNiangalieni
mbona bado niko mguu sawa?
Ntageukaje bila kulegeza mwili?
Nina wasi wasi na Judgement...Uporoto umelizwaaaaaa!!
acha ale kuona..braza nae kazidi kuwa busy...ati lunch mida hii...mrembo kama Amy akae njaa mpaka sasa...
haya mtei na ww umemlisha nn bi dada wawa watu?hukawii kumnunulia mahindi yakuchemsha!
Acheni kumchafua Husninyo bana......Paka mapepe??
hee, ni kile kijukuu kipya cha Mzee ODM
ndio kimevunja ndoa yao
uporoto kadata kwa Kabakabana
hasikii, haambiwi la mswalie mtume.
Hahahaaaaa hata mimi nahisi huyo ndo adui...lol
Kweli Kongosho anakugeuka???
Teh hapo ni sipooooIt can't be but nimegundua kitu hapa Husninyo alikuwa haeleweki kwa Uporoto ndio maana akaamua kumtema, halafu huyu Jugdement atakuwa anahusika sana
Utakuta ana kizizi aiseeKongosho ni mtoroshaji sijui anapewa nini kwa kazi yake