Husninyo Pokea Proposal

Amy keshakush2kia kuwa we na BAGAH mna agenda ya siri. Kaa ukijua kuwa hauna chako. Unatafutiwa timing nzuri ya kupgwa chn ili ucje kujnyonga kwa hasira.

Ndo maana Amy nakupenda sana bby....
I will always love u the way you do to me...
 
kaka ndo mana nakwambia zoezi linakushinda...ebu ona ndo unataka umpeleke mdada wa watu kula sa hii...si wajanja watakua wamesha mpa masoseji kibao...saa kumi?
Yan wewe na Mtei mna majungu mbaya...mnaona nafaidiiiiiiii
 
Amy keshakush2kia kuwa we na BAGAH mna agenda ya siri. Kaa ukijua kuwa hauna chako. Unatafutiwa timing nzuri ya kupgwa chn ili ucje kujnyonga kwa hasira.
Hahahahaaa utangoja uchoke hutaona tunaachana kamwe
 
Yan wewe na Mtei mna majungu mbaya...mnaona nafaidiiiiiiii

Yani unataka kumpeleka mtoto wa watu lunch mida hii? Mi alnipgia akanambia anataka kuonana nami ndpo 2kaonana maeneo ya town, 2kala lunch, akanambia vle unamtesa.
Mi nimeona bora nimpe pumzko la moyo ili asiendlee kupata mateso. Ctak akonde.
 
mda c mrefu utakuja kujiona kuwa we mjinga.
Nampa Amyner pumzko la kudumu, nahakikisha nazba matundu moyoni mwake pia ntamsahaulisha maumivu yote ya mapenzi.
Hotojutia kuwa nami.

Hahahahaaa utangoja uchoke hutaona tunaachana kamwe
 
Nshapiga kigele gele
ngoja nikavae dera, hii sketi inaniyima uhondo

lazima tujimwaye mwaye.
tena best man awe uporoto
lazima anywe sumu mwaka huu

Jamani hizi taraka zinavyotolewa mimi sielewi, sasa nani kambwaga mwenzie
 
mda c mrefu utakuja kujiona kuwa we mjinga.
Nampa Amyner pumzko la kudumu, nahakikisha nazba matundu moyoni mwake pia ntamsahaulisha maumivu yote ya mapenzi.
Hotojutia kuwa nami.

Mtei mbona unataka kumpa pressure kipenz changu.. He makes me happy, i cant complain about that kwa kweli.. I wouldnt trust a word from ur mouth, umemtaka mpaka bi harusi to be, husny?! We mtei wewe..
 
asee mtei una mashairi niaje?
 
Usiniambia hujui ya hapa mtaani?!

Husyn jana kamiminwa na Uporoto live on stage.
Bahati nzuri, kumbe Judgement alikuwa kidumu kiaminifu
ndo kaamua amsitiri kwake, tena kwa ndoa bab kubwa.

Jamani hizi taraka zinavyotolewa mimi sielewi, sasa nani kambwaga mwenzie
 
Mtei mbona unataka kumpa pressure kipenz changu.. He makes me happy, i cant complain about that kwa kweli.. I wouldnt trust a word from ur mouth, umemtaka mpaka bi harusi to be, husny?! We mtei wewe..

Cjamtaka Husny mimi. Nlikuwa namtetea Uporoto. Amyner kumbuka ushauri nliokupa
 
Usiniambia hujui ya hapa mtaani?!

Husyn jana kamiminwa na Uporoto live on stage.
Bahati nzuri, kumbe Judgement alikuwa kidumu kiaminifu
ndo kaamua amsitiri kwake, tena kwa ndoa bab kubwa.
Teh usikute na Nitonye kidumu
 
Usiniambia hujui ya hapa mtaani?!

Husyn jana kamiminwa na Uporoto live on stage.
Bahati nzuri, kumbe Judgement alikuwa kidumu kiaminifu
ndo kaamua amsitiri kwake, tena kwa ndoa bab kubwa.

Sweetylady alinificha ndani sikuweza kutoka. Kitu gani kilimsibu Uporoto mpaka ikawa hivi au Husninyo sio mwaminifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…