Nipo dom kwa sasa. Ni mgeni ila nitakuwepo huku kwa muda mrefu kidogo na hata hyo 2gether party wakiiorganize huku nitaweza shiriki.
Una kumbukumbu nzuri.
Karibu sana, ila naomba kujua jinsia yako...mmmh!
Nahisi wewe ni kidume.. Uangalie lakini isije ikawa mimi mwanao. Maana jf bwana. Unaweza ukashangaa baba na mwana wanachati tena darling, hny mpenz kwa wingi. Lol!

kamanda fika pale kwenye mjengo waambie tunataka katiba mpya kabla bongo haijageuzwa tunisia.Kwako Husninyo,, umeugusa mtima wangu...nimehakikisha napata katrip ka kuja Idodomya, walau nikwepe kero za hapa DSM kidogo, so nakuja Idodomya!:A S thumbs_up:
Huwezi amini furaha niliyo nayo hasa baada ya kusoma hapa
nakuomba, kama Mwenyekiti, nike nikutembelee....niansalamu zako kutoka kwa Asprini, ameomba nirudi na kamchango, halikadhalika Teamo aminipa copy ya katiba yetu uipitie pitie....katibu kanipa fomu ya kujiunga natumai utaijaza
kazi yangu mimi ni moja tu, umenigusa nikagusika naomba unikirimu nitakapofika huko hiyo kesho, nimeona umeshakuwa mwenyeji kidogo sasa! Nitapenda tukae sehemu tulivu, unielezee yaliyojiri huko.
Mdhamini Bifirita atakuja baada ya hapo kufanya tathmini ya ziara yangu
Niwaombeni ndugu zangu Kimey, Fidel80, The Finest, GY, Inkoskaaz, hashyool, ijapokuwa sharing is caring, hapa is a no go zone.:A S 27:
Mhesshimiwa sana Ivuga nitarudi na mafotoz yenye taswira za huku., ila za Husninyo sitakukabidhi hata kidogo,
Maria Roza nakutafutia kitu cha nguvu huku (U know what I mean) walau utulie safari hii!:coffee:
Mpenzi wangu Nyamayo, nivumilie nitarudi mara na mihogo,
MJ1 Love, Nitarudi na Yolanda yako ulontuma,
Smiles, I will be back with lots of them smiles, and a lot more, bear with me
Wiselady, mtumishi, nitakukuta mlimani endelea kuniombea!
Rose80, hebu cheki na bacha kama bado anao mlenda kama sio nikuletee,
Dena Amsi na AD.....poleni kwa yalowakuta, nitarudi na ushauri murua kutoka kwa Husninyo (namwaminia kwa hilo)
babu DC, mzee wa busara Acid, mchungaji Masa na Mkewe Lizzy, nikirudi kiutu uzima will know what to do
Kwa sasa ombi langu ni moja tu kwako Husna, nipokee tafadhali....nitaingia kwa tukutuku mida ya saa kumi jioni....asante kwa kunisikiliza....:hug::hug:
Karibu sana, ila naomba kujua jinsia yako...mmmh!
Nahisi wewe ni kidume.. Uangalie lakini isije ikawa mimi mwanao. Maana jf bwana. Unaweza ukashangaa baba na mwana wanachati tena darling, hny mpenz kwa wingi. Lol!
Dah....sasa hapa kale kakidude ka thanx sijui kameenda wapi.....
Ish! Mbona Husninyo ameshatambaa kitambo. Mie nimempigia jalamba la kumpata mpaka nikachoka. Mwanzoni alisema kafikia Makole, nikatia timu bila ya mafanikio nikaishia kuibuka na mzigo wa CBE pale Club la Aziz. Nilipompigia kesho yake kasema yuko Hazina, ile kumtokea, nikaishia kukuta Basi la Kingkross likishusha Kambale kutoka Mtera. Nilipompigia tena akasema yuko Veyula karibu na Mnadani lakini jioni angekuwa Makulu na baadae UDOM. Kwa matumaini makubwa nilokuwa nayo, nikatinga UDOM nilikoishia kuambulia mkong.oto wa FFU. Sina hamu tena ya kumtafuta kwa kuwa nimepata taarifa za uhakika kuwa alikwenda Arusha. Sijui kama vurugu za CHADEMA zilimwacha salama.
akirudi kaizer nakuja mimi. nimetakiwa kuja kuhutubia kikao cha dodoma city kounsil kuhamasisha utumiaji wa kondom huko. nitakupa tarehe halisi end of zis week.Karibu sana, ila naomba kujua jinsia yako...mmmh!
Nahisi wewe ni kidume.. Uangalie lakini isije ikawa mimi mwanao. Maana jf bwana. Unaweza ukashangaa baba na mwana wanachati tena darling, hny mpenz kwa wingi. Lol!
Usisahau kuniletea nyama chafu ya pale Mbande, tafadhali na kuku toka Kibaigwa!!! By the way na ndoo ya nyanya pale Kandambili!!
Yolanda hahahaaaaaaaaaa na cobra
Mimi hapana elewa kabisa....................:boxing::boxing:
kamanda fika pale kwenye mjengo waambie tunataka katiba mpya kabla bongo haijageuzwa tunisia.
bek to ze topik: dah!
Ish! Mbona Husninyo ameshatambaa kitambo. Mie nimempigia jalamba la kumpata mpaka nikachoka. Mwanzoni alisema kafikia Makole, nikatia timu bila ya mafanikio nikaishia kuibuka na mzigo wa CBE pale Club la Aziz. Nilipompigia kesho yake kasema yuko Hazina, ile kumtokea, nikaishia kukuta Basi la Kingkross likishusha Kambale kutoka Mtera. Nilipompigia tena akasema yuko Veyula karibu na Mnadani lakini jioni angekuwa Makulu na baadae UDOM. Kwa matumaini makubwa nilokuwa nayo, nikatinga UDOM nilikoishia kuambulia mkong.oto wa FFU. Sina hamu tena ya kumtafuta kwa kuwa nimepata taarifa za uhakika kuwa alikwenda Arusha. Sijui kama vurugu za CHADEMA zilimwacha salama.
akirudi kaizer nakuja mimi. nimetakiwa kuja kuhutubia kikao cha dodoma city kounsil kuhamasisha utumiaji wa kondom huko. nitakupa tarehe halisi end of zis week.
akirudi kaizer nakuja mimi. nimetakiwa kuja kuhutubia kikao cha dodoma city kounsil kuhamasisha utumiaji wa kondom huko. nitakupa tarehe halisi end of zis week.
Atakuandalia yaliyonikuta. Lol.hapo ndo panahusu thanks, umehisi kweli kuwa mimi ni Mwanaume,......sasa hapo kwa baba na mwana, sikumbuki kuwa na mtoto aliye Idodomya....waniandalia nini walau niwe na idea?