Husna wa CHADEMA aibuka tena na Mkwara mzito Sana! Hatuogopi kufa

Anamapiga nani mkwara huo maana anaonekana mwoga kiliko anaowaambia
 
Anatingisha maskani ya jamaa, yupo Chato.

Wanafanana tabia, naona jamaa kampata saizi yake, huyo haogopi polisi, alivyokamatwa last time aliwaambia polisi sitaongea chochote mpaka waliosababisha niletwe polisi (walioshusha bendera za Chadema) nao wawepo hapa, polisi walijifuta jasho.
 
Back
Top Bottom