Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
- Thread starter
- #21
Mwanamke wa hivyo ayupo kabisa1. Anakuwa na uchungu kwenye matumizi yako 2. hapendi kujionyesha 3.Yuko tayari kuitwa mama 4. Anakushauri mambo ya kimaendeleo hasa ya muda mrefu mfano kujenga,kuwekeza n.k 5. Anayekupa kipaumbele wewe kabla ya wazazi wake/marafiki 6.Anakuwa na uwezo au kutoa ushauri unapofikwa na magumu, 7. Asiyependa kutaja udhaifu wako, 8 . Asiyekukaripia au kusonya 9. Anakuwa mchangamfu muda wote anapokuona; n.k