husband material.

unajua the term 'husband material' isn't very common, utakubaliana nami lakini wife material is almost every man cup of tea... nimeshtuka mwenzenu kuitwa jina lisilozoewa kwenye jinsia yetu..

si ukubali kuwa lugha haipandi uelimishwe
 

Yani wewe unaweza ukaua mtu ikitokea umekuwa mshauri unayetegemewa!
 
si ukubali kuwa lugha haipandi uelimishwe

hebu mwambie huyu KisakoKivuyo hii husband material ipo sema ndo haitamkwi kama ilivyo wife material ni mwanamke anayejitambua na kujua majukumu yake kama mama na mke aolewapo na kwa mwanaume vivyohivyo lazima ujue majukumu yako kama baba au mume na u play part of it.sio kwa vile unavijisent vyako basi unajiona unaweza kuwa baba kuna mengi yakuzingatia ili uwe husband or wife material
 
Last edited by a moderator:
nyumba ndogo material ni housegirl au barmaid!

bado una mawazo ya kizamani sana wewe.

mwanamke anaweza kuwa WIFE MATERIAL kwako na akawa NYUMBA NDOGO material ya mwingine.

BESIDES, sio nyumba ndogo zote ni single. Kuna nyumba kubwa/nyumba ndogo nyingi siku hizi
 
Ndo matatizo ya kuchumbiana wakati viwango vyenu vya elimu ni sawa na mlima na kichuguu. SS ndugu yetu kama ameshindwa kuelewa kitu kidogo kama hiki sijui wakioan na kukaa pamoja atatuuliza mangapi. SS kuna zile terminology za kitandani sijui kama hapo atamwelewa demu wake anamaanisha nn!!!!!!! Watu wengine mna bahati.
 

zikinishinda kabisa nitamwomba aniambie hizo terminology kwa kilugha, si lazima iwe kwa kiingereza besides mwanaume wa ukweli ni cash na kugegeda hayo mengine ni nyongeza tu.
 
umemaliza kila kitu kaka! well said!
 
unajua the term 'husband material' isn't very common, utakubaliana nami lakini wife material is almost every man cup of tea... nimeshtuka mwenzenu kuitwa jina lisilozoewa kwenye jinsia yetu..

ss km sio common ndo usielewe?
km unaelewa wyf material y usielewe husband material?
Yaani kwa akili ya kawaida umeshindwa kufikiri au kuweka vice versa?
 
u sim to be a bad guy...judging u kiharakaharaka
 
ss km sio common ndo usielewe?
km unaelewa wyf material y usielewe husband material?
Yaani kwa akili ya kawaida umeshindwa kufikiri au kuweka vice versa?

simpatii picha mwanaume mwenye tabia za wife material, binafsi sitaki kuwa mwanaume mwenye tabia za ki wife material!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…