Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,596
Bujibuji leo umeamkaje?? kuna mtu kanionea mahali wake wenzangu Yummy, BADILI TABIA asali mwenyewe wa ODM Kongosho! jamani nasikia mume wetu kaoa mke mdogo kwenye familia ya madabida, cjui kama tutapona! tutete kidogo, lol
Huruma hiyo hiyo ulonayo Bujibuji nami nnayo. Nsipokuwa na huruma
1. Watengeneza kondom watapataje ujira?
2. Wahudumu wa gesti wataishije kwa kamshahara ka elfu 80 kwa mwezi nisipofanya mambo ya short time?
3. Wafanyakazi wa kiwanda kinachotengeneza KY watatunzaje familia zao?
Kuweni na huruma kama mimi na Bujibuji walimwengu wa chit chat.
Narudi mapangoni torabora. Tafazali hakikisheni wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya umonita wa Kongosho hawasomi hii yuziful post.
Wenye tangazo na wenyewe siku hizi wamekuwa WALEVI MBWAulevi ni nooooooooooma! sijui ili tangazo limeishia wapi?
Ni kweli aliye lala usimwamshe ukimwamsha utalala wewe!Wenye tangazo na wenyewe siku hizi wamekuwa WALEVI MBWA
Bujibuji leo umeamkaje?? kuna mtu kanionea mahali wake wenzangu Yummy, BADILI TABIA asali mwenyewe wa ODM Kongosho! jamani nasikia mume wetu kaoa mke mdogo kwenye familia ya madabida, cjui kama tutapona! tutete kidogo, lol
Huruma hiyo hiyo ulonayo Bujibuji nami nnayo. Nsipokuwa na huruma
1. Watengeneza kondom watapataje ujira?
2. Wahudumu wa gesti wataishije kwa kamshahara ka elfu 80 kwa mwezi nisipofanya mambo ya short time?
3. Wafanyakazi wa kiwanda kinachotengeneza KY watatunzaje familia zao?
Kuweni na huruma kama mimi na Bujibuji walimwengu wa chit chat.
Narudi mapangoni torabora. Tafazali hakikisheni wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya umonita wa Kongosho hawasomi hii yuziful post.
Huruma yenu ndio imewaponza!........vumilieni tu huyo mke mpya akichuja mume wenu atarudi kwenu