Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Wapi nilipobishana kwa chuki mkuu? Kukataa huyo kiumbe asininukuu humu JF ni chuki!?Taratibu mkuu, bishaneni kwa hoja acheni chuki..

kuna vitu vinaogofya kwelikweli ndugu, hawa watu sijui wana roho zipi. hata kunyamaza hawawezi, wauguze mgonjwa wao apone tu.Mimi naomba apone haraka maake kuna maneno yameshakuwa sumu sasa
Msamehe tu mkuuWapi nilipobishana kwa chuki mkuu? Kukataa huyo kiumbe asininukuu humu JF ni chuki!?
Yaleyale ya kuibiwa 10M halafu mwizi anarudi kukupa pole ya 2M...Ni yale yale ya mchawi kuwa wakwanza kufika kilioni, na kujiliza kwa uchungu sana kuliko hata wafiwa.
Kwa ccm hali ni tofauti mkuu, imani yao ni kwamba mtu akiwa tofauti na wao ni adui na hastahili kuishi nchi hii.Ni watanzania wenye haki ya kuishi kama wewe Mwanachama wa Chama cha Mauaji
Ile siyo ajali mkuu. Ni mipangoLakini jamani mambo mengine tuwe tunafikiria mara mbili mbili, kwa hiyo ulitaka wafurahie au wapongeze ili wasiwe wanafiki au waoga? Wakilaani wanaonekana wanafiki, kama wangepongeza au kuonesha wamefurahishwa bado mngeponda sasa wafanyeje? Naanza kuamini ule msemo unasema Kunya anye kuku, akinya bata KAHARISHA! mimi sio mwana CCM ila kwa hili kila mtanzania mwenye akili timamu atalaani hili tukio
Kama mpaka sasa haujui wabunge wa ccm wanatakiwa wafanye nn nakupa pole!!!Lakini jamani mambo mengine tuwe tunafikiria mara mbili mbili, kwa hiyo ulitaka wafurahie au wapongeze ili wasiwe wanafiki au waoga? Wakilaani wanaonekana wanafiki, kama wangepongeza au kuonesha wamefurahishwa bado mngeponda sasa wafanyeje? Naanza kuamini ule msemo unasema Kunya anye kuku, akinya bata KAHARISHA! mimi sio mwana CCM ila kwa hili kila mtanzania mwenye akili timamu atalaani hili tukio
Kitendo alichofanyiwa Tundu Lisssu kimewaungunisha na kuhuzunisha watanzania kwa mshtuko mkubwa kwani siasa za Tanzania tulizozoea si za kupigana risasi toka tupate uhuru. Mungu Ibariki TanzaniaNatafakari hii huruma inayopigiwa chapuo sasa na wana CCM kuhusu umoja na mshikamano.Hali hii imezidi kipindi hiki cha matukio hasa tukio la kutaka kumuwa Lisu kushindikana.
Kuna dhana kuu mbili hapa tunalazimka kuzitazama kidogo.
1. Dhana ya kujikosha baada ya kuumbuka.
Dhana hii inajengeka kuhusu huruma ya ghafla kwa wapinzani wakati ni miaka karibu 2 sasa wapinzani wamepatwa na masaibu makubwa yaliyotishia mustakbali wa nchi. Hakuna mwana CCM aliyethubutu walau kukemea mwenendo ulivyo hadi saSA. WAPINZANI WAMENYANYASWA BUNGENI, WAMENYANYASWA NA POLISI na kusumbuliwa sana. Bungeni ni mfano hai kwa sababu wabunge wote walistahiki kutendewa sawa na kama ni kanuni zilipaswa kuwa sawa kwa wote lakini hali haikuwa hivyo. Makosa yale yale waliyohukumiwa wapinzani yamefanywa na wabunge wa CCM na hawakuchukuliwa hatua yoyote. Hali ya manyanyaso imekwenda na wapinzani wamekuwa wakipiga kelele na hata kutahadharisha kuwa HAKUNA ATAKAYEKUWA SALAMA mpaka sasa imefika mahala Tundu Lissu huyu huyu kwa mfano alie mkosoaji mkubwa wa serikali kupigwa risasi eti ndio huruma inakuja na tayari kukiwa na mpasuko wa kiitikadi katika nchi.
Dhana hii ya kujikosha inaonesha CCM kuwa wanafanya unafiki wa wazi baada ya kuona malalamiko kupitia taasisi za kiraia na kisheria zinalaani tukio la Lissu na wao kuamuwa kufanya unafiki. Tumeshangazwa na CCM eti kulaani leo na hata kutoa matamko ya kutaka wahalifu washikwe .
2. Dhana ya uwoga na kumsaliti mwenyekiti wao
Dhana hii nayo inaonesha wana CCM wengi ni waoga na pengine hawaridhiki na kile kinachoendelea katika nchi lakini hawana uwezo wa kukabiliana na mwenyekiti wao.
Rais JPM akiwa mwenyekiti wa CCM alishatoa msimamo wa kutoshirikiana na wapinzani na kuwaita watakaofanya hivyo kuwa WASALITI. Hili lilikuja wakati wabunge wa CCM walipokwenda kumtembelea Mh Lema Gerezani waliitwa wasaliti. Sasa leo CCm na wanachama wake wakiwemo UVCCM, Katibu wa Uenezi na hata wanachama mmoja mmoja wamepatwa na nini kutoa kauli zinazoonesha kuguswa na wapinzani (Lissu) wakati walishaambiwa ni usaliti ? Hapa ni dhahiri kuna uoga ulioambatana na unafiki. Itakuwa wamemsaliti mwenyekiti wao.
Mimi nauliza tu nini kimewapata wana CCM hadi kuwa na huruma na wapinzani leo ?
Kishada.
Kwenye nyuzi za hivi hawatokeagi na wakitokea wakiandika sana basi ni sentensi moja au mbili ...Kisu mfupani, huwezi kuwaona hapa kwenye uzi wako bro...
Hawajawahi kuwa na japo chembe ya huruma na wapinzani hawa.Wanachofanya ni tabia ya mamba ndiyo maana hata katibu mwenezi wao ameendelea kufanya makosa ya wazi mosi ni kuonesha tukio limefanyika 7/8 badala ya 7/9 pili kumpongeza Turky kwa kukodi ndege badala ya kudhamini!Natafakari hii huruma inayopigiwa chapuo sasa na wana CCM kuhusu umoja na mshikamano.Hali hii imezidi kipindi hiki cha matukio hasa tukio la kutaka kumuwa Lisu kushindikana.