Hureee its Friday

Na uzuri ni kwamba siku hizi tunaheshimiana mitaani hata Heineken zimeshushwa bei na kuna kitu ya Ukawa

Heineken na Windhoek hizi walizozichakachua zikapoteza ubora wake?mtu unakunywa Bia haupati mzuka tumbo ndio linajaa maji.
 
Heineken na Windhoek hizi walizozichakachua zikapoteza ubora wake?mtu unakunywa Bia haupati mzuka tumbo ndio linajaa maji.

Bia bora ni moja tu ambayo tena haichakachuliki na inanywewa na watu wa CLASS ni Castle Milk Stout! Salute saana hii makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…