Huolewi kamwe

Bora umesema wewe ningesema mimi wangesema hooh mara nina visa nao hii imfikie mhusika..
 
Kweli mtupu ila sasa umeandika kimipasho sana, ungetulia ucompose vizuri ingependeza sana
 
wacha kumsingizia mungu kwa tabia na upuuzi wako, mungu hausiki na kumpangia binadam shida wala matatizo, labda mungu wako huyo ndie anapanga, flan ateseke, mwingine ale good life, mwingine aolewe mwingine aendelee kua mchepuko, huyo mungu wa kipuuzi sana uyo, ila nae muabudu mimi hana izo tabia. na anaimiza binadam tufanye kazi tena kwa bidii sana sio mchezo mchezo.

Ndugu mbona povu limekumwagika embu tafuta maji unywe mana nahisi hadi koo limekukauka.

Afu ushasema unayemuabudu wewe sio mimi, imani yako huko huko ya kwangu niachie usitake unachokiamini wewe wote tuamini, haimaanishi ukiamini wewe kitu ndio cha kweli eboo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom