Huo ukubwa wa Yanga ni upi?

Huo ukubwa wa Yanga ni upi?

Sio Aibu Yako, Aibu ni Kwa mbumbumbu fc yoyote Anaye toka Hadharani na kusema Simba Ina rank ya Caf, Ina udhamini mkubwa, Ina wafuasi mitandaoni. Wakati Takwimu za Tff zinasema Yanga inaingiza Mashabiki wengi viwanjani.
Timu kubwa haipimwi na vitu vya kipuuzi, ukubwa wa timu ni Makombe na Yanga wanayo 28.
Sawa
IMG_20220802_161245_871.jpg
 
we subiri utaona Yanga ni bora kiasi gani gari imewaka sisi tuna watu daima mbele nyuma mwiko
Nitaona wapi kimataifa mlipoomba Caf muanzie ugenini au agosti 13 maana ndo akili zenu zilipoishia hapo.
 
ukapimwe! timu mbovu washambuliaji butu timu haina kombe bado umo tu na majezi umevaa!
Hivi mapinduzi cup nikumbushe imechukua team gani Tanzania mara ya mwisho?
 
Sio Aibu Yako, Aibu ni Kwa mbumbumbu fc yoyote Anaye toka Hadharani na kusema Simba Ina rank ya Caf, Ina udhamini mkubwa, Ina wafuasi mitandaoni. Wakati Takwimu za Tff zinasema Yanga inaingiza Mashabiki wengi viwanjani.
Timu kubwa haipimwi na vitu vya kipuuzi, ukubwa wa timu ni Makombe na Yanga wanayo 28.
Data za bakhresa hzo na bifu lake na Mo inamaana mpaka leo hujui vita iliyopo kati ya Mo na bakhresa kwa udhamini wa simba sasa kama mna mashabiki wengi mbona kwenye ile michango ya nani zaidi mliyokimbia nani alikuwa anaongoza kwa makusanyo ya ile competition?
Mpaka mkaamua kukimbia hao mashabiki mnahesabu mpaka wale wanaoenda airport kupokea wageni au.
 
Lete fact za kuonesha huo ukubwa wenu feki mnaojipa nyie kimba fc
ujinga upi Sasa? kuwapasua Simba pale CCM Kirumba na Lupaso siku kadhaa zijazo? Kuna ujinga gani sasa kuchukua kombe with unbeaten record?
Au ni ujinga Yanga kumchukua Aziz Ki na kukataa kumuuza Mayele kwa 3B ambayo ni thamani ya wachezaji kumi wa Kolo FC?
 
Ukubwa wa timu unapimwa na Makombe ayo mengine ni porojo. Ili Simba awe mkubwa kwanza atwae Makombe sio rank za CAF.
Unavyo sikia Ahly, Tp Mazembe, Mamelody ni wakubwa kwasababu Wana vikombe kuanzia Domestic league mbaka Caf Champion league.
Tanya namba 75 Afrika, Hii Ni timu KUBWA Sana, Afrika mzima wakisikia Hilo jina wanatetemeka.

Simba ilishavuka boda, ndiyo maana Leo unaona Kampuni inaweka bilion 26,Ikicheza nusu fainali utashangaa WATU wanaweka Hata bilioni 50.

Yanga wanadhani mbet wamebahatisha, wamejua Simba Ni brand kubwa Afrika na itawatangaza nje ya mipaka ya Tz.

Huwezi kubaki kuwafunga Vifundo FC wanaocheza bronco cup goli 9 unasema we Ni mkubwa.

Yanga wanabeza Simba kucheza na ismailia lkn wao wanaocheza na timu za ndondo.
 
Sio Aibu Yako, Aibu ni Kwa mbumbumbu fc yoyote Anaye toka Hadharani na kusema Simba Ina rank ya Caf, Ina udhamini mkubwa, Ina wafuasi mitandaoni. Wakati Takwimu za Tff zinasema Yanga inaingiza Mashabiki wengi viwanjani.
Timu kubwa haipimwi na vitu vya kipuuzi, ukubwa wa timu ni Makombe na Yanga wanayo 28.
pengine wew Ni moja ya WATU wenye akili fupi na ndogo Sana. Hujui unachotetea. Kwamba Simba kuwa na rank kubwa CAF Ni upuuzi.

Yanga unacheza mechi 2 za CAFCL Unapigwa unarudi,utazifikia
vp Tp Mazembe? Au utazifikia kwa kuchukua tu kombe la LIGI? Simba kufika robo fainali Ni mafanikio kuelekea juu zaidi.simba ilishavuka boda.

Ili yanga ifikie viwango vya Simba ktk michuano ya CAF inahitaji miaka zaidi ya 5 kwa kufanya mile Simba ilifanya.

Ila nasikia msimu huu mnaenda kuchukua CAFCL. Na mnamleta Mosimane.
 
Tanya namba 75 Afrika, Hii Ni timu KUBWA Sana, Afrika mzima wakisikia Hilo jina wanatetemeka.

Simba ilishavuka boda, ndiyo maana Leo unaona Kampuni inaweka bilion 26,Ikicheza nusu fainali utashangaa WATU wanaweka Hata bilioni 50.

Yanga wanadhani mbet wamebahatisha, wamejua Simba Ni brand kubwa Afrika na itawatangaza nje ya mipaka ya Tz.

Huwezi kubaki kuwafunga Vifundo FC wanaocheza bronco cup goli 9 unasema we Ni mkubwa.

Yanga wanabeza Simba kucheza na ismailia lkn wao wanaocheza na timu za ndondo.
Timu ina kelele za vuvuzela kabati la makombe limejaa vumbi hamna kombe hata moja!

Udhamini mkubwa wafungaji butu Kagera na Mbeya City wanajipigia tu
 
Nenda Google soma "Rise and Fall theory" utaacha kushabikia Kolo FC. Yanga ina RISE na Simba ina FALL hili liko wazi! Rekodi zote za Simba zinarudi kapuni Yanga inachukua Hatamu sasa. Hebu in 2025 tukiwa hai uje na rekodi za Simba na Yanga.Simba inabebwa na rekodi za nyuma na kutokana na kuwa mbovu rekodi zote zitafutwa na itasahaulika!

Rekodi za Simba

1. kushika nafasi ya pili 2022, mwaka 2025 kushuka daraja ( kabati la makombe limejaa vumbi kombe hata moja hamna)
2. Mwaka 2022 nafasi ya 12 mnavyosema CAF mwaka 2025 mtakuwa nafasi ya 70
3. Wafungaji wa Simba mwaka huu wote Kagere, Boko na Mugalu ukiunganisha magoli yao bado hawamfikii Mayele mmoja tu!
4. Yanga kuibamiza Simba kila mechi ya watani labda wapunguzwe na refa ndo Simba ishinde tena kwa magoli ya offside!
5. Ngao ya jamii Kolo FC msijifiche mvae jezi
Tatizo linaanzia hapa
20220802_101051.jpg


Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Akuna timu yenye propaganda na upuuzi mwingi kama simba ukiwashinda kwa hili wanatowa hili ukiwashinda kwa hili wanakuja na lile
Na yote hayo ua ni kutaka kuzima kile ulicho shinda

Mtu anajua kabisa ukubwa wa timu upimwa kwa vikombe vyake
Yeye anakataa eti sijui caf sijui hivi
Zote ni propaganda tu sawa tumekubali ninyi wa kubwa wa league ya Tanzania rizikeni sasa
 
Ukubwa wa Simba unaotambuliwa na CAF ni kwenye ushirikina tu, hakuna ukubwa wa rank za CAF Wala udhamini katika ulimwengu wa soka, Ili uwe mkubwa twaa vikombe kama Yanga.
Mamboyenu ya ukubwa wa chupri chupri hayatambuliki popote.
 
Nenda Google soma "Rise and Fall theory" utaacha kushabikia Kolo FC. Yanga ina RISE na Simba ina FALL hili liko wazi! Rekodi zote za Simba zinarudi kapuni Yanga inachukua Hatamu sasa. Hebu in 2025 tukiwa hai uje na rekodi za Simba na Yanga.Simba inabebwa na rekodi za nyuma na kutokana na kuwa mbovu rekodi zote zitafutwa na itasahaulika!

Rekodi za Simba

1. kushika nafasi ya pili 2022, mwaka 2025 kushuka daraja ( kabati la makombe limejaa vumbi kombe hata moja hamna)
2. Mwaka 2022 nafasi ya 12 mnavyosema CAF mwaka 2025 mtakuwa nafasi ya 70
3. Wafungaji wa Simba mwaka huu wote Kagere, Boko na Mugalu ukiunganisha magoli yao bado hawamfikii Mayele mmoja tu!
4. Yanga kuibamiza Simba kila mechi ya watani labda wapunguzwe na refa ndo Simba ishinde tena kwa magoli ya offside!
5. Ngao ya jamii Kolo FC msijifiche mvae jezi
Doooh aisee wewe ni mtambuzi aisee , ktk hili ninakukubali ila jambo moja tu JK NA Sunday MANARA wengine nyie ni Ziro , Kwenye Derby zoote idadi kubwaaa ya Magoli kafungwa nanihii UTOPOLO [emoji16][emoji16][emoji16][emoji196][emoji3470]
 
Akuna timu yenye propaganda na upuuzi mwingi kama simba ukiwashinda kwa hili wanatowa hili ukiwashinda kwa hili wanakuja na lile
Na yote hayo ua ni kutaka kuzima kile ulicho shinda

Mtu anajua kabisa ukubwa wa timu upimwa kwa vikombe vyake
Yeye anakataa eti sijui caf sijui hivi
Zote ni propaganda tu sawa tumekubali ninyi wa kubwa wa league ya Tanzania rizikeni sasa
Sawa hatujakataa sasa utachukuaje Caf champions league bila kuwa na mwendelezo mzuri kama ukicheza mechi mbili tu basi mnatolewa huo ukubwa mnautoa wapi al ahly na real Madrid ni club kubwa duniani sio kwa kuchukua domestic league hao friends rangers na transit camp hawawezi kukupa kipimo cha Caf champions league kama ukubwa wenu ni kuchukua NBC premier league na kumfunga simba sawa endeleeni kukaa kimbiji.
 
Ukubwa wa Simba unaotambuliwa na CAF ni kwenye ushirikina tu, hakuna ukubwa wa rank za CAF Wala udhamini katika ulimwengu wa soka, Ili uwe mkubwa twaa vikombe kama Yanga.
Mamboyenu ya ukubwa wa chupri chupri hayatambuliki popote.
Thamani ya club haipandishwi na historia ila kwa currently achievement kwa east Africa hakuna club iliyo na achievement kubwa kwa miaka minne kushinda simba sasa utopolo hyo thamani yenu imepandishwa na nini mtuambie.
 
Back
Top Bottom