Francis Mawere JF-Expert Member Joined Nov 17, 2015 Posts 969 Reaction score 844 Sep 9, 2016 #1 Mwana dada Pipi kaachia video yake inayokwenda kwa jina la Hafai ambapo ndani ya wimbo huo yupo Nick Wa 2. Ingawaje kwenye video Nick Hajaonekana ila Kipekee niseme kwamba hii Video ni MBOVU/MBAYA, production ya Hii video imemwangusha.
Mwana dada Pipi kaachia video yake inayokwenda kwa jina la Hafai ambapo ndani ya wimbo huo yupo Nick Wa 2. Ingawaje kwenye video Nick Hajaonekana ila Kipekee niseme kwamba hii Video ni MBOVU/MBAYA, production ya Hii video imemwangusha.